TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Mkuu usisahau kunitag
 
Nazipenda kauli zake hizi tu.
"Nilidhani hujui physics pekee, kumbe hata English hujui......"

"We unayenishauri kwanini nisifanye hivi, unaonaje ukapata wewe marks nilizopata mimi afu ufanye mwenyewe....."
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii ndio JF kila mtu alikuwa kipanga, ana gari kali, ana maisha bora.
 
Naweza kuielewa hali yako japo sikufahamu. Lakini ningebahatika kukuona kabla hujajiunga na chuo ningekupa somo la unyenyekevu. Chuo ni miaka michache tu, usingepoteza chochote kunyenyekea muda huo mfupi. JK alisema ni upepo tu, utapita. Baada ya hapo vyeti vyako vingekusemea kila mahali, na hata watu wangesema u mtu mzuri. Pengine hujachelewa, fanya hivyo hata sasa.
Mimi ni mwalimu nimefundisha wanafunzi wengi wa aina yako, na kwa ushauri wangu huu wananiheshimu hata sasa.
 
Nazipenda kauli zake hizi tu.
"Nilidhani hujui physics pekee, kumbe hata English hujui......"

"We unayenishauri kwanini nisifanye hivi, unaonaje ukapata wewe marks nilizopata mimi afu ufanye mwenyewe....."
hahahahaha....daaah jamaa bwanaa
 
Acha kamba. Nimesoma UDSM, hizo ngonjera za kufelishwa waambie malofa wenzako
 
Kinachoniuma rohoni jamaa kafa masikini

Angekua huko ughaibuni tunaongea mengine sasa ivi...
Kwa Tz elimu ya kukariri hauwezi kupata mshiko ,wengi waajiriwa wanapata hela ya kula tu ,ukiona mfanyakazi katusua basi yupo kwenye mirija ya kupiga pesa za dili.

Vipanga wengi naowajua ambao walikuwa wanafanya vizuri hawana kitu wameishia kupata salary ya 2m hadi 3.5m ,wakajenga nyumba ya vyumba vitatu na kununua gari ndogo basi na wanaishi hand to mounth tu.
 
KWASABABU UNAHISI KITABU ALICHOKIANDIKA NI MOTIVATION BOOKS AU CHA STORI ZA MAHUSIANO AU SIYO HADI IWE RAHISI ...... tusiendelee mbele tuishie hapa
Principles za physics ni zilezile, hakuna invention au discoveries walimu wanafanya.

Ni kufuata mtaala wa serikali tu.

Wanaoandika papers ni wale wanaofanya tafiti, wanaandika kitu kipya kila siku na wana-publish kwenye journals za ndani na nje.

Usitufanye tuone hiyo physics kama somo limetoka kwa alliens. Ni mambo yaleyale anayafundisha kila siku.
 
Mkuu kuandika kitabu tena Cha physics unaona ni Jambo dogo??
Hivi unaichukuliaje physics lakini?!?
Physics kitu gani? Kuna tofauti gani na Geography au Maths?

Kwani ameandika vitu ambavyo havijawahi kuwepo? Si vitu vilevile vipo kwenye mtaala wa serikali? Kuna invention yeyote ameifanya? Kuna paper yeyote ame-publish kwenye reputable journal?

Hata mimi binafsi naweza kuandika kitabu cha econometrics bila tatizo. Japo kuna watu wanaona ni somo gumu ajabu.

Kuandika kitabu ni tofauti kabisa na kuandika paper. Lazima ujifungie kufanya utafiti uje na kitu kipya kabisa then ufanye publication. Ni tofauti sana na kuandika kitabu.
 
Kinachoniuma rohoni jamaa kafa masikini

Angekua huko ughaibuni tunaongea mengine sasa ivi...
Kutokana na kauli za wengi humu, jamaa ana arrogance ya kufa mtu.

Aliona kufundisha ndo kila kitu maishani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…