TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Watoto wa siku hizi wanagonga l.3 kama uchafu
 
Kwenye science na Mathematics sio siasa
Hata huku kuna siasa tena kupitiliza, mimi ni Mathematician hivyo ninachoongea nina uhakika nacho.

Mitihani ya siku hizi wanatunga maswali mepesi mno japo mada ni zilezile.

Ukichukua mtihani wa miaka 10-20 iliyopita ukalinganisha na mtihani wa mwaka huu ndipo utaelewa ninachosema.
 
elimu imerahisishwa mkuu.....
Hayo ni maoni yako. Zamani watoto walikuwa hawafundishwi vizuri pia waalimu walikuwa hawana technics. Na shule za private hazikuwepo ndio maana ulikuwa unaona wanafunzi wengi hawaperform. Siku hizi hata hizo shule za vipaji maalum four na six huwa hazikai top ten zinachungulia tu. Rejea matokeo ya 2020/2023
 
Kwenye science na Mathematics sio siasa
Qn: Rais wa kwanza wa Tanzania aliitwa
Nye....?
1.gezi
2 renda
3 rere
Chagua jibu sahihi @5 marks
Nafikiri zamani na sasa hivi.. tofauti ya kupata resources ( material ).. sasa hivi kuna Youtube na platform kibao.. mtoto ana smartphone kila kitu anapata, ila zamani enzi zetu kupata nelkon and parker ni shughuli.. walimu wachache .. ila sasa hivi waaingia youtube kila kitu kimo
 
Siku hizi hakuna hata penalty ya Basic Mathematics ndo maana one za 7 kama uchafu. Tangu mwendazake aingie madarakani NECTA nayo ikawa kikundi cha kusifu na kuabudu. Imagine tuliambiwa kuna wanafunzi CHATO wamefanya vizuri sana. Nadhani ni muda wa Mama Samia kukataa hii hali ya NECTA kujipendekeza na kupanua magoli ili kumfurahisha Rais.
 
2000-2016 una uhakika hayo unayoyasema hayakuwepo?
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…