TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

wadudu washenzi sana, wanakufanya hakuna, cheki kamanda alivyolika
hatari, nilipo acha kufanya matusi, siku nimeenda clinick na mama watoto, aliomba nimsinidke sikujua kitacho jiri, nimeingia ndani mnatakiwa kupima wote.. kimono moyo nikasema hapa tukikutwa nao vidole vitakuwa kwangu na mie nitasema ukimwi wa kichawi, ningesingizia ukimwi wa kurogwaa... bahati nzuri majibu yakawa fresh nikatoka nimevimba, na kuanzia hapo nikaacha hayo mambo yaani, bora nibaki nakamua mahala pamoja
 
noma sana, yaani papuchi za kisasa kama haina chronic UTI, basi mjomba super Neisseria lazima akudake, au yule kubwa lao kabisa AU VYOTE kwa pamoja

choice inabakia kua kwako
 
naona kwa sasa hivi kama vipi unatulia na tundu moja tu unakojoa hapo hapo, mie na mpenzi wangu tulipo enda clinic yalipimwa magonjwaa yote hakuna gonjwa hawakupimwa.. tulivyotoka clear kimoyo moyo nikasema siji kuuza mechi tena.. haya mambo
mambo ya chovya chovya utashangaa devices connected 750kVA imoo
 
Sababu kuu hatuna guidance nzuri za kifamilia.. huyu jamaa angepata malezi na usimamizi kama watoto wa kihindi na ki arabu angefika mbali sana na physics yake..

Jamaa alishika shika vihela na kupata kajina kakubwa mapema .. akawa mtu wa mademu sana..

Kipindi anaingia udsm 2006 first year yeye ndiye alikuwa mwaka wa kwanza maarufu kuliko wote udsm kwa mwaka wake... akiwa mwaka wa kwanza tu udsm akawa anaitwa shule mbali mbali na tution centre mbali mbali kwenda kufundisha physics na kusolve maswali. Huko akawa anapata vihela hela vingi tofauti na boom.. hivyo vihela na jina lake akawa anagonga sana mademu.. inasemekana akaja akapata moto aka miwaya
Ni kweli marehemu elias alifariki kwa ngwengwe..na amezikwa kwao kanda ya ziwa
 
Brother sema ukweli basi.
Huyo TO kawaje
Angeescape vipi....?
JamiiForums-1764386524.jpg
 
Sababu kuu hatuna guidance nzuri za kifamilia.. huyu jamaa angepata malezi na usimamizi kama watoto wa kihindi na ki arabu angefika mbali sana na physics yake..

Jamaa alishika shika vihela na kupata kajina kakubwa mapema .. akawa mtu wa mademu sana..

Kipindi anaingia udsm 2006 first year yeye ndiye alikuwa mwaka wa kwanza maarufu kuliko wote udsm kwa mwaka wake... akiwa mwaka wa kwanza tu udsm akawa anaitwa shule mbali mbali na tution centre mbali mbali kwenda kufundisha physics na kusolve maswali. Huko akawa anapata vihela hela vingi tofauti na boom.. hivyo vihela na jina lake akawa anagonga sana mademu.. inasemekana akaja akapata moto aka miwaya
Ndio , ukijisifu sana na kweli sifa hizo ukawa unazo watakupa papuchi za kutosha mpaka hatimaye ngwengwe ikupate,
 
Huyu kihombo pamoja na Muddy ambao nimewashuhudia walikua na sifa na majigambo sana( bahati mbaya maisha yao hayakuw marefu)

Mgote physics alikuwa analetewa mambo aliyoyasema kuhusiana na muddy anavyomponda yaani ilikua ni burudani tu.

Mgote anadai muddy anakariri
Muddy anadai mgote alipata physics D

Muddy alikua anatuonesha hadi vyeti vyake

Ambapo phy B maths A chem D

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HHii
Leo tunavyozungumza Elias Kihombo hatunaye tena duniani. Inasemekana kifo chake ni kutokana na maradhi yaliyokuwa yakimkabili.

Tunahitaji kuwa Karibu na Mungu wakati wote kwani safari yetu ipo mikononi mwake.

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe!

I will never forget you My brother.

You will be missed forever and always. The beautiful moments you shared with me will always speak of a great person that you were. Rest in peace up in heaven.

-----
Pia soma

ALAMA ALIZOACHA ELIAS KIHOMBO

Imepita miaka takribani miaka 14 sasa, tangia Tanzania ilipopata kumshuhudia mwanafunzi alieshindikana katika masuala ya Elimu hapa namzungumzia,Tanzania One (2006) Elias Kihombo katika matokeo ya Kidato cha Sita mwaka 2006 akitokea shule ya sekondari Tosamaganga wengi wanapenda kuiita Tosa Boy's

Mwaka 2006, Necta ilimtangaza mwanafunzi Elias Kihombo kutoka Tosamaganga Secondary School kuwa ndo kipanga wa mwaka huo akiwapita wanafunzi wenye akili zaidi waliovuma toka shule kongwe na special schools kama Kibaha, Ilboru, Mzumbe, Kilakala, Tabora Boys etc ukweli ni kwamba Elias Kihombo hakuwa maarufu kwa kipindi hiko na wengi walisikia tu story zake haswa kwa Wanafunzi wa Mzumbe Boys ambao Mara nyingi walipata kumuona katika mazingira yao.

Kumbuka kwamba Elias Kihombo hakupewa Priority kubwa sana ya kuwa T.O wa Advance Level kutokana pia na matokeo yake ya Kidato cha Nne (4) kuonekana kuwa ya kawaida sana, Kihombo alifanikiwa kupata Division One (1.14) akiwa na Physics-A Chemisrty-A Biology na Mathematics-B, Ndipo mwaka huo 2003 alipata kuchaguliwa Tanga Technical school iliyopo mkoa wa Tanga (tetesi), lakini baadae aliamua kurudi tena katika shule yake ya zamani yaani Tosamaganga Secondary kuendelea na masomo yake ya Advance Level. Alimaliza hapo hapo akifanikiwa kuwa mwanafunzi wa kwanza toka Tosamaganga kwa Advance Level kuwa mwanafunzi bora kitaifa, Alifanikiwa kupata maksi za juu sana na kupata Division One (1.3)

Physics-A
Chemistry-A
Advanced Mathematics-A

October 2006 Alichaguliwa kujiunga na University of Dar Es Salaam (UDSM) akiwa kama T.O kusoma Bachelor of Science In Telecommunication Engineering (4years) na tetesi zinasema alifanikiwa kupata ufadhili wa masomo yake chini ya kampuni ya Airtel.

Siku zilienda na alikuwa karibu kumaliza Elimu yake ya chuo kikuu, huku akipata madili mengi ya kufundisha Tuition maeneo mbalimbali ya mkoa wa Dar Es Salaam na shule nyingi za sekondari ndani ya Tanzania, hasa shule za Advance.

Lakini baada ya Miaka 4 kupita ikiwa miezi michache tu imebaki ya kumaliza chuo, Tanzania One Kihombo alidisco chuo na hivyo kumfanya asifanikiwe kupata degree yake ya kwanza mwaka huo 2010, lakini wengi wanasema hakupaswa kudisco chuo lakini ndivyo ambavyo Hatima yake ilipoishia hapo (tetesi )

Moja kati ya maneno ambayo wengi wanamnukuu aliyopata kuyasema ndani ya Miaka hiyo, alisema "Duniani walionipita kwa akili ni watu wawili tu wa kwanza Mola, wa pili ni Mzungu" hapa ndipo hatima yake inavyosemekana ikafungwa na wakuu wake lakini wengine wanasema vingine.

Elias hakutaka kwenda chuo chochote kile na ndani ya Miaka hiyo mitatu baada ya kudisco chuo, yaani 2011, 2012 na 2013 alikuwa anazunguka shule mbalimbali za sekondari Tanzania kupiga mapindi ya Physics na Chemistry na kwelii huyu jamaa alikuwa ni Invisible katika masomo hayo mawili, Japo Pure Mathematics alikuwa hafundishi kabisa kwasababu alikuwa anasema "Siwezi kufundisha Somo rahisi duniani kama Pure Mathematics, Mimi nafundisha Physics na Chemistry tu"

Ndipo baada ya Miaka mitatu kupita (3) T.O aliyetukuka zaidi katika vinywa vingi vya wanafunzi wa Tanzania, kutokana na ufundishaji wake na kuwaita wanafunzi wake Nyumbu na kuwa na Jeuri zaidi ya Akili zaidi ya watu wengine, alifanikiwa kurudi tena ndani ya University of Dar Es Salaam safari hii akiwa ameamua na amezamilia kuchagua kozi nyingine Mpya kabisa iliyoanzishwa mwaka huo 2013 hapohapo Udsm iliyoitwa (Bachelor of Science In Petroleum Engineering). Hii kozi ilikuwa inachukua wanafunzi 20 pekee Tanzania nzima tena wale waliosoma PCM tu (Physics, Chemistry na Advanced Mathematics) na waliopata Marks za juu kabisaa.

Baada ya Miaka 4 kupita, ndipo July 2017, T.O Elias Kihombo alifanikiwa kumaliza Degree yake ya kwanza (Bachelor of Science In Petroleum Engineering) na mnamo November 2017 Elias Kihombo alifanikiwa kutunukiwa Degree yake ya kwanza akiwa ndani ya University of Dar Es salaam baada ya Miaka 11 kupita.

Hapa imepita Miaka mingi tangia, 2006 Engineer Elias Kihombo alivyotangazwa kuwa Tanzania One lakini ilimchukua Miaka mingine 11 mpaka kutunukiwa Degree yake ya kwanza. Huyu ndiye The Best Of The Best, Eng Elias Kihombo Mwanafunzi aliyepata kutokea Tanzania kuwa na uwezo mkubwa darasani. Nlsikia jinsi ambayo eng elias alikuwa na kipaji cha kufundisha kuanzia asubuhi mpk jioni na kusitokee hata swali moja liliomtolea nje .siku ambayo alisolve maswali kuanzia saa moja hadi saa nne hakuna swali lililo msumbua saa tano hadi saa nane hakuna swali lililo msumbua saa tisa hadi saa kum na mbili hakukua na swali lililo msumbua tuliendelea na mwendo huo kwa muda wa wiki moja . Itabaki historia ktk maisha ya wanafunzi na elimu ya Tanzania kwa ujumla.

Lakin leo tunavyozungumza Elias Kihombo hatunaye tena duniani. Inasemekana kifo chake ni kutokana na maradhi yaliyokuwa yakimkabili. Tunahitaji kuwa Karbu na Mungu wakati wote kwan safari yetu ipo mikononi mwake. Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe!

I will never Forget you My brother

You will be missed forever and always. The beautiful moments you shared with me will always speak of a great person that you were.

Rest in peace up in the heaven

View attachment 1630262
View attachment 1630283

Daa aisee sikujua kama jamaa alifariki, pole sana!

Jamani hii dunia kuna watu wanvipaji.... jamaa alikuwa haingii darasani tangu shule ya msingi..... nakumbuka alianza kufukuzwa shule tangu shule ya msingi kwa utoro, shule msingi alosoma alinitangua madarasa kadhaa.....
Fikiria unahama shule karibia tatu halafu kijijini!
Na kisa cha kufukuzwa jamaa alikuwa akifika shule yaani ticha akitoka pindi yeye anabadili na kuwafundisha zaidi ya mwalimu alivyowafundisha hapohapo jamaa kumuona shule ilikuwa ni ngumu sana aisee!

Walimu wanapata taaabu sana kuwafundisha watoto wanaojua zaidi yao...... Hivyo mwanafunzi kama unakipaji basi uwe na utulivu sana ili kije kuwa faida kwa wengine!

Sijajua sekondar school alipangiwa wapi ingawa naskia nako alikuwa mtu wa kuhamahama!

Nyie wengine mliojaliwa, jitahidini sana kuwa na nidhamu nakuwakubali wengine hata kam wewe unaouwezo... Neno Mola na Mzungu ndio waliokuwa wamemzidi zaidi ya hapo hakuna aisee ni zito sana katika ulimwengu wa roho..... kumbuka kuna manabii wa Mungu, malaika, maserafi nao aliwazidi..... kweli hilo neno zito sana!

Vichwa vingine viachage tyu labda alirithi kwa dingiake aliyekuwa rubani!

Jamanin tumtangulize Mungu kwa kila jambo hata kama tuna vipaji ambvyo vinaweza kuonekana vinaweza kufanya lolote!

Mtangulizeni Mungu na kumshukuru kwani Sikwauweza wako wala akili yako bali ni yeye aliyekuumba!
 
Back
Top Bottom