TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Umechomoa eenh? Basi nadhani siku nyingine hutarudia.

Eistein and Newton walifeli mitihani?

Eistein na Newton wamefanya mambo ma vyuoni huko ambako unaandika kitu kinasomwa na miamba mienzio duniani nzima ndio unapitishwa kwamba wewe kweli kichwa kimesheheni ujazo.

Sio kuji showcase kwa watoto wa sekondari tuition za mchikichini na kunakili maswali ya vitabuni kuyajibu na kusemwa umeandika kitabu.

Heck no! Umedesa , you plagiarized that jazz, bro.

Elias Kihombo is a sad profile of massive underachievement.
Wewe umefanya nini cha maana ktk tasnia ya Elimu?
 
Rest in peace kwake

Jamaa alikuwa ni genius. Waliosoma nae wote Tosa pale wanafahamu hilo.

Jina lake linaheshimika sana Tosamaganga he made the school proud indeed. Ingawa he was socially inept ( so are many geniuses). I believe angezaliwa USA ange achieve a lot .

Inaumiza sana kuona great brains kama zile zinakuwa wasted sababu ya educational system yetu haichochei innovation kabisa.
 
story zinasema zaidi vile vitabu ambavyo wanafunzi wengi huvikwepa yeye ndio alipenda kuvitumia mfano nelkon, roger, UP(university physics) kwa upande wa physics, waliosoma physics advanced level watakuwa wanaelewa zaidi hapa,

Uko sahihi mkuu.

Hivyo vitabu pamoja na Chand nimevitumia sana, jambo ambalo lilinifanya nizipende notes za Mgote maana zilikuwa zinajumuisha maswali kutoka vitabu hivyo vyote
 
Acha kuidharau history bro unajua definition ya history aliyoitoa Edward hallet carr ni kitabu kizima?

Unajua kuhusu kina Michael Beaud?

Hakuna somo jepesi hata history ina maswali ya application Mzee.
Anaiona history ni kama story anazozizungumzia,Atafute A zake aone zinavyokuwa ngumu,,
 
Umechomoa eenh? Basi nadhani siku nyingine hutarudia.

Eistein and Newton walifeli mitihani?

Eistein na Newton wamefanya mambo ma vyuoni huko ambako unaandika kitu kinasomwa na miamba mienzio duniani nzima ndio unapitishwa kwamba wewe kweli kichwa kimesheheni ujazo.

Sio kuji showcase kwa watoto wa sekondari tuition za mchikichini na kunakili maswali ya vitabuni kuyajibu na kusemwa umeandika kitabu.

Heck no! Umedesa , you plagiarized that jazz, bro.

Elias Kihombo is a sad profile of massive underachievement.
Tatizo kaka mkubwa umeanza kuwataja manabii walioletwaga Duniani kwa sababu maalumu,Marehemu ubongo wake ulikuwa unafanya kazi vizuri sana sema hakupata nafasi ya kujiendeleza
 
Anaiona history ni kama story anazozizungumzia,Atafute A zake aone zinavyokuwa ngumu,,
kama ningeamua kuisoma ADv. sizani kama ningeikosa A, ila haikuwai kuwa passion yangu, ingawa kwa uwezo wangu mdogo , sikuiacha A katika level zote za ELIMU, ambapo nilisoma History.
 
kama ningeamua kuisoma ADv. sizani kama ningeikosa A, ila haikuwai kuwa passion yangu, ingawa kwa uwezo wangu mdogo , sikuiacha A katika level zote za ELIMU, ambapo nilisoma History.
Shule uliyosoma kuna aliyepata A uliyesoma nae
 
Vijana wapumbavu sana au anajua history ndiyo definition ya is the study of past events?[emoji16]
Anazani History ni zile simulizi alizokuwa anasimuliwa na washkji zake,Anazani kila tukio lilopita basi ni la kihistoria,,PHYSICS ni ngumu sana lakini hiyo histry inayoizungumzia ndio somo gumu upande wa Arts subjects
 
Anazani history hakuna application questions?.

Zipo sana tu According to alafu tumie ufahamu wako jua umeisha mapema sana
 
Back
Top Bottom