TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Bandiko lake limesomwa nami mwenye level 3 ya electrical installation [emoji23]
 
Kwani wapi nimesema unanijua?
Mbona unajistukia dogo??
Acha kujikuta..mtu akikwambia wewe mdogo wake si lazima uwe umetoka naye tumbo moja.
Acha kujikuta, ukweli umeupata
Hiyo English yake ss kwmb "does you. i dont related to you"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
What do you mean hakupata nafasi ya kujiendeleza, alinyimwa mkopo ????

Huyu sio pointi tatu peke yake kwenye historia ya TZ , wengine mbona waliendelea vizuri?

Elias was a small thinker. To him, ma tuition ya sekondari na Alteza ya bomba mbili was all he could dream of.

Si kosa letu au la serikali kwamba alifeli chuo au hakuendelea mbele kitaaluma. Kosa la serikali ni kuwaita hawa watoto Tanzania One wakati mitihani sio standardized, hujui nani kampita nani.
Unapoint nzuri ila kwenye huu uzi ni wa kusifu na kuabudu mkuu
 
Wakijibu nitag
Manake, kama alama ya A ni kati ya 91-100, atayepata 91,92,93,94 na atayepata 100, wote watakuwa wamepata A.

Na kama hawatoi matokeo kwa kiasi cha asilimia alichopata mtahiniwa, ni vigumu kujua nani alipata 100 na nani alipata 95.

Kwa elimu yangu hii ya kidato cha 4, nijuavyo, baraza hutoa matokeo kwa alama, si asilimia.

Lakini yawezekana nikawa nimepotoka mie...
 
Kama dharau zake ndio kilikuwa kikwazo nadhani alipaswa kufanyiwa counseling na watu positive.Naamini angekuwa sawa tu.
Tatizo Waafrica huwa tunapenda kulazimisha watu waishi vile tunavyoishi, km mtu ana dharau hyo ni tabia yake na ni jinc ww unamuangalia ndo mana unadhani ana dharau, lkn wenzetu hawa deal na personality ya mtu ila wanaangalia fikra za mtu ambazo ndiyo huwa zinageuka kuwa msaada kwa nchi na dunia kwa ujumla.
 
Ukiacha hiyo ya Olevel..Geog ya advance Ndiyo ni ngumu ila huwezi linganisha na physics..
Huu ni utani jamani.
Hivi ni ‘advance’ au ‘advanced’ level?

Huwa naona na kusikia watu wakisema ‘advance’.

Lakini kwa nilivyofundishwa kusoma, mimi huona ni ‘advanced’.

‘Advance’ na ‘advanced’ ni parts of speech tofauti.

Labda kwa vile mimi sikufika huko ndo maana sijui....
 
Genius ndiyo wanaosoma sn mana huwa wanawahi kuelewa hvyo ni rahisi kusoma mambo mengi kuliko slow learners.
Asante mkuu kwa ufafanuzi huu, ufafanuzi huu utawasaidia wengi wanaofikiri kuwa mtu akiwa 'genius', basi asiweke bidii katika masomo. Wengi wanaojiona wana uwezo huwa hawajibiidishi, hasa kwa levels za secondary. Akiona kapata alama nzuri 'o level', basi anajiona genius (wenyewe wenasema 'mimi nina nature'), na wanapojiunga na levels za juu huamini watafaulu hata bila kuweka bidii katika masomo, wengi wao huanguka. Kumbe ukiwa 'genius', kwa kuwa unaelewa sana, usibweteke, bali unatakiwa usome vitu in advance, kwa kuwa una uwezo wa kuelewa kabla ya kufundishwa na mwalimu. Take it as a gift.
 
May his soul rest in eternal peace.

Huyu mwamba hakumaliza petroleum engineering pale udsm, alidisco akiwa third yr. nlikuwa nyuma yake mkuu. Mwamba alikuwa anajua sana, sema petroleum ilimpeleka puta sana.
Kwahiyo alidisco kwa mara ya pili tena

*****
 
broh mtumiaji wa mwisho yaani wewe unaeangalia mtandaoni unaona grades tu. ila walioko jikoni wanaona mpaka raw marks. mimi ni shaihidi wa hilo.
Kwani hao baraza la mitihani huwa wanatoa na kiasi cha asilimia alichopata mtahiniwa au huwa wanatoa alama tu kama A, B, C, D?
 
Andika na wewe tuone
Hiyo physics unaiona lelemama??
Sasa unalinganisha physics na econometrics??mkuu upo serious kweli?!?

Pata na wewe 99% ya physics tuamini kama kwako ni ya kawaida.
Kwasababu wewe ni kilaza.

Physics ni somo la kawaida kama mengine. Kuna wanaopata A ya physics na wengine vichwa wanakosa hata B ya History.

Usifanye exaggeration kwa kitu ambacho ni cha kawaida sana.

Hao kina Mgote na Muddy walikuwa wanatoa hamdouts ambazo ukiziunganisha unapata kitabu.
 
Back
Top Bottom