TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Huenda hawajasoma advance. Kama walisoma mbona wao hawakukariri au kubahatisha kama mdau.
Advance nimetumia vitabu vya Kihombo especially waves, jamaa ana prove kuwa anajua.
Watu wanapenda kuropoka tu mkuu.
Kuna watu hata hiyo physics ya form 4 iliwashinda ila wamekazana kusema "Ni kukariri tu"
Utadhani wao wanaweza kupata hiyo 99 ya physics
 
Dried ice is the solid form of what gas?
Wandya lolo, Amamihayo ge shinisho! Lekagi.

I think this is the matter of having information.. I don't think you will unearth meaning full connections or patterns from such a question..

Nikama kuniuliza uanajua Nyani Ngabu alisoma wapi!? I will be ignorant.. maana I have not been exposed to such information... 🙂

Uniache na KLF yangu... Ni ngumu sana Nyani Ngabu 😀



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ma-TO wako wangapi? Tukijumlisha wa level zote
Na utaratibu wa TO umeanza mwaka gani?
Maana sasa hizi sifa mpaka naanza kuwaza

Ukisema kuna Ma TO wengi mavyuoni, viwandani na mahospitali

Ukisema kuna Ma TO wengi wamepitia mikononi kwake naanza kujiuliza Tanzania ina Ma TO
Sina hakika kama ni swali sahihi mimi kujibu, kujua idadi ya Ma TO, but muhimu najua kuna Ma TO wamepita kwenye mikono ya mwamba, that is enough
 
Joel nae ni TO wa mwaka gani na kwa mchepuo upi huyu jamaa
jamaa alikuwa TO, o -level na alichukua PCB , ila haikuwa rahisi kwake kurudia U TO kwa mara nyingine A level lakini , alijielekeza kusoma masomo ya biashara kwamujibu wake ndo ilikuwa passion yake, kama mwamba passion yake ilivyokuwa kufundisha.
Ni rahisi kuwa TO o level, but siyo Advance, ADVANCE unakutana na wamba wengi, kumbuka ile TOP ten yote inafaa kuwa TO
 
Law and Medicine ni preferences.. what my heart desires.. naweza pia kupenda ushairi..kama Shaban Robert! Na nikawa bora sana maana akili na maarifa nimeyainvest huko!

Kwingine kote umesema vema!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sawa...

Ila umemtaja mwanamashairi Late Shaaban Roberts(rip) na kwanini asiwe Mwingine?!!😁

Katika kila fani watu makini wanainvest bora hizo "akili zao" lakini kwanini TUWATAJE WACHACHE WAO kuwa ni exceptional?!

Thanks pal for ur awesome inputs!!
 
Utu uheshimiwe tafadhali
Sijakupata mantiki yako ya UTU , Kuuliza ugonjwa uliomuondoa Marehemu ambaye ni MAARUFU kwenye elimu ni kuvunja UTU wake? Kama Michael Jackson walieleza ,Chadwick Boseman walieleza ,Why kwa Elias iwe ni Kuvunja UTU? Muddy Phyics ameondoka na pia elias ameondoka ,Wote walikuwa wanafundisha ,kujua vilivyoawaondoa ni muhimu inawezekana labda vilisababishwa na kufundisha kwa muda mrefu ,who knows?
 
One day he was talking to me about relativity the way you never heard about

He imagined about Hyper loops and one day I heard musk talking about it

Things like Space Elevators, Thought to Text and Energy-based Paint

Active Integrated Matter and lots of many things ... I wish you could meet him

Ebana jamaa kweli alikuwa genius
Sasa naamini “Geography is a Destination “
 
Sawa...

Mkuu kumbe kila anayekufa anafanyiwa ama is intitled kufanyiwa POST MORTEM vile?!!
Nimejibu hoja kwamba "hakuna haja ya kujua sababu ya kifo coz hata ukijua hauwezi kumrudisha" na ndio nikasema kama ni hivyo no need of postmorten(to determine the cause of death) whether entitled or not.
 
Nimejibu hoja kwamba "hakuna haja ya kujua sababu ya kifo coz hata ukijua hauwezi kumrudisha" na ndio nikasema kama ni hivyo no need of postmorten(to determine the cause of death) whether entitled or not.
Kaulizeni alikofia watakuwa na majibu au nendeni msibani watasema.
 
Tatizo la waafrica Ni ngumu Sana kumkubali mwafrica mwenzao,.anapofanya extraordinary things..
PCM sio lelemama,.Kama huamini rudi shule chagua hiyo kombi..
 
Tatizo la waafrica Ni ngumu Sana kumkubali mwafrica mwenzao,.anapofanya extraordinary things..
PCM sio lelemama,.Kama huamini rudi shule chagua hiyo kombi..
 
Back
Top Bottom