Restaurant gani au wapi wanapika chakula kizuri kwa Dar es Salaam?

Restaurant gani au wapi wanapika chakula kizuri kwa Dar es Salaam?

Ndugu zangu wenyeji wa dar, ivh ni sehemu gani nzuri ambayo wanauza vyakula vitamu vitam kipenzi cha wengi. Sometimes mm naona ni vzur kubadili mazingira. Bei haijalishi
karibu sana jijini kuwa makini komaa na jinsia yako uliyokuja nayo... usikubali kulipiwa ukifika huko mgahawani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda mayor restaurant kariakoo mtaa wa nyamwezi karibu Na msikiti wa makonde zamani ikiitwa zitta restaurant hapo unapatikana Msosi wa nguvu kuanzia breakfast mpaka lunch kila kitu kipo sawa Na vimepikwa kwa ufundi wa hali ya juu mpaka juice ya pale sio mchezo
 
Kuna moja ilikuaga pale posta azam karibia na round about ghorofani sjui bado ipo aisee nilikulaga prawns watamu mpaka leo nawakumbuka
 
Akemi restaurant goldern jubillee tower ni sehemu nzuri sana view wise and hospitality bufe ni Tsh 35 mchana is in point au Serena ambapo bufe ni 65
 
Back
Top Bottom