Restaurant gani au wapi wanapika chakula kizuri kwa Dar es Salaam?

Juliana yes but kwa chefkile hapana...nyama nzuri insta na mapichapicha, ila nenda pale Ramada kale ooooi mbaya balaa[emoji848]

[emoji32][emoji32]naona wanamsifia?

Na Kwa Esha Buheti?
 
Juliana yes but kwa chefkile hapana...nyama nzuri insta na mapichapicha, ila nenda pale Ramada kale ooooi mbaya balaa[emoji848]
Yuko ramada au Mbezi?
Ramada itakua ni branch ingine na inawezekana kawaacha watu wafanye kazi ndio wanavurunda.
 
Yuko ramada au Mbezi?
Ramada itakua ni branch ingine na inawezekana kawaacha watu wafanye kazi ndio wanavurunda.
Sasa Ramada iko wapi mkuu? Si mbezi

Nachomaanisha yuko karibu na hiyo hotel mkono wa kushoto kinyumba ndo anapikia kule kwa wateja kumeezekwa na mabati na yy mwenyewe ndo chef pale.... nimempigia simu atuandalie mapochopocho ya elfu 30...daaah sikuamini asee misosi ina sura nzuri ila haina ladha kabisa[emoji45][emoji45]

Beef ndo kabisa linalendemkaa, kuku hamna kitu labda kachumbari
 
Break Point mapichapicha yao ya insta hatari ila uhalisia sasa 😂
 
alafu hizo ni bei za zaman kuna mpyaa sasa hivi sema chakula cha akemi ni big No nilikulaa biryani lao nahisi lile walipashaaa
Nilikuwa nina mpango wa kwenda kula buffet yao aisee 🤦🏾‍♂️🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…