Restaurant gani au wapi wanapika chakula kizuri kwa Dar es Salaam?

Nenda Golden Fork Sinza,

Nenda kwa open kitchen ana chakula kizuri

kuna mgahawa upo kulia mtaa kama wa pili kabla ya kufika muhimbili ukitokea fire jina limenitoka wana chakula kizuri

Halafu kuna mama ntilie moja yupo Magomeni wallah msosi 1,500 tu ila ni hatari sana
 
Magomeni ipi?
 
Hapana sio kariakoo, ni city centre, nyumba ya hotel ya starlight Kuna mtaa wa Libya ukienda nao Sasa mbele utakata upande wa kulia mtaa wa chaga ndipo hapo Kuna chef's pride.
 
Ndugu zangu wenyeji wa Dar, ivh ni sehemu gani nzuri ambayo wanauza vyakula vitamu vitam kipenzi cha wengi. Sometimes mm naona ni vzur kubadili mazingira. Bei haijalishi
kwa King Sure!
 
Hapana sio kariakoo, ni city centre, nyumba ya hotel ya starlight Kuna mtaa wa Libya ukienda nao Sasa mbele utakata upande wa kulia mtaa wa chaga ndipo hapo Kuna chef's pride.

chef 's pride ni kiboko na panajaaaga muda wotee
 
ukitaka chakulaa kizuri ni bora ule kwenye migahawa ya kawaida ilaa hii mikubwa mikubwa/hotelin utakula viporo mpkaa uchokee wanafanyaga tu kupasha
 
Nenda Golden Fork Sinza,

Nenda kwa open kitchen ana chakula kizuri

kuna mgahawa upo kulia mtaa kama wa pili kabla ya kufika muhimbili ukitokea fire jina limenitoka wana chakula kizuri

Halafu kuna mama ntilie moja yupo Magomeni wallah msosi 1,500 tu ila ni hatari sana

open kitchen niliendaga kulaa nilichokaa anavyojuaa kujisifiaa na nilichokulaa woyiii i will choose terrace everyday wana chakulaa kizur saana
 
kila Mtu na taste yake.
 
Back
Top Bottom