Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
KempiskiZa sahizi binadamu wenzangu.
Nipo dar es salaam Nilikuwa nauliza ni restaurant au hotel gani ninaweza kupata WIFI yenye kasi sana na ambayo ina Gb nyingi nina ma file ninayotakiwa ku download kwenye PC yangu jumla ni 156GB...
Ok asante ngoja niiangalie google maps.Samaki samaki
Hii ipo wapi?Kempiski
Nina 10k mkuu 😑. Inatosha sio?Una Tsh ngapi nikulete kazini kwetu unatumia waya (Ethernet cable).
Ndo nn hizi?*149*01#
*149*99#
*147*00#
*148*66#
Hamna mkuu haya ma file yana umuhimu sana asee ndo maana mkuu.Lakini nao wanafanya biashara unaenda kuwatia hasara wenzio ndugu.
Njoo sokon karume mchikichin unalipia mia tano tu pa dei ingawaje spidi yake ni ya kinyongaHamna mkuu haya ma file yana umuhimu sana asee ndo maana mkuu.
Ni lazima tu nipate Wi-Fi sehemu
Nunua bundle lako acha uvivu, wizi, ubahili na utegemezi. Uanaume ni kujitegemea.Za sahizi binadamu wenzangu.
Nipo Dar es Salaam Nilikuwa nauliza ni restaurant au hotel gani ninaweza kupata WIFI yenye kasi sana na ambayo ina GB nyingi nina ma file ninayotakiwa ku download kwenye PC yangu jumla ni 156GB.
Sasa mimi hiyo budget siwezi kuitumia kwenye manunuzi ya bundle za kawaida maana ni kubwa sana.
Natanguliza shukrani.
Ndio maana Africa hatutoboi. Tunaakili zs kichawi sana, mtu umrwekeza, limits linataka life lifaidi jasho la uwekezaji wako bureLakini nao wanafanya biashara unaenda kuwatia hasara wenzio ndugu.
Nani kaweka hiyo wifiNjoo sokon karume mchikichin unalipia mia tano tu pa dei ingawaje spidi yake ni ya kinyonga
Ferry ilikuwepo sijui siku hiziNdio maana Africa hatutoboi. Tunaakili zs kichawi sana, mtu umrwekeza, limits linataka life lifaidi jasho la uwekezaji wako bure
Aandae sh ngapi kwa hizo GBNunua bundle lako acha uvivu, wizi, ubahili na utegemezi. Uanaume ni kujitegemea.