Restaurant gani Dar es Salaam ninaweza kupata WIFI yenye kasi zaidi?

Mzee mbona unapenda sana kamserereko?restaurant ni sehemu ya kula.
 
Nunua bando lako acha Ubahili [emoji2][emoji2]
Na utakapoenda kutumia hiyo Wi-Fi unatakiwa matumizi yako yasiwe chini 50K
 
Kama unaona kazi, Andaa hiyo 20k kisha niandikie TITLE (vichwa vya habari) za vitu unavitaka na wapi vilipo kisha nikudownloadie.

Nakushushia mwenyewe naKuwekea kwenye External FREE DELIVERY nakuletea Mzigo wako hadi ulipo,unanipa changu nageuza.
 
Ukitoa 50,000 nakushushia hizo tutorial zako nakuekea kwenye EXTERNAL DRIVE ya 250GB nakuletea Free Delivery hadi ulipo.

Yani ki ufupi ni NunuanExternal yenye vitu unavyovitaka na zaidi kwa 50k.
 
Coral Beach Hotel, Masaki. Mtandao wao una kasi ya ajabu sana. Thank me later
 
Cha ajabu anataka kulala au kula kempisk au sehemu ya matawi ya juu, hasa hiyo Ela si kununua tu bando na kuweka tu.
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…