Restaurant inalipa kwa hali ya sasa?

Restaurant inalipa kwa hali ya sasa?

mabwana

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
307
Reaction score
316
Wana jamii,

Nilikuwa na vifaa vya restaurant, je kwa hali iliyokuwepo sasa kweli inaweza kulipa? Vifaa vya kisasa ninavyo, mawazo yenu.
 
Achane hizo story
Hata kama ni chakula kuwa makini pia unaweza poteza hela.
Wateja wengi hutaka chakula rahisi na kizuri usipopiga hesabu vizuri utafunga. Pia soko ni dogo hasa maofisini watu huja na vyakula kutoka home au upiga pasi ndefu.
Sehemu nyingi za chipsi zimefungwa.
 
Back
Top Bottom