Restaurant

Restaurant

A2Zlove

Member
Joined
Jan 17, 2016
Posts
11
Reaction score
3
Habari za siku wana Jamii.
Natafuta restaurant ya kukodi. Pia mwenye taarifa na kuwepo kwa tenda ya kuendesha canteen ya chuo, ama taasisi yoyote anijuze.

Asanteni sana.
 
Imefungwa mdaa wameondika under renovation ilaa mdaa kweli...maeneo gani unataka?nauza vyombo vya restaurant ukipata nitafute tufanye biashara
Thanks mkuu, nimefika hapo na tayari nipo kwenye maongezi na mmiliki japo kodi ipo juu sana. Anahitaji $ 3000 per month, but tutafika katika mwafaka. Na kama kuna mahali pengine please nijuze. Unauza vifaa gani mkuu?
 
Back
Top Bottom