Restriction ya idadi ya words kwenye document - maana yake ni nini hasa?

Restriction ya idadi ya words kwenye document - maana yake ni nini hasa?

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Posts
11,503
Reaction score
20,892
Msaada tafadhari - nina swali la ''kizushi''

Hivi unapoambiwa kuandika document huku wakiwa wamerestrict idadi ya maneno, let say less than 500, nini hasa kinatakiwa?

Ni rahisi kuhesabu maneno hayo kama unatumia MS Word (tools then word count) lakini, kama unasubmit hard copy ya hiyo document, wapokeaji watahesabuje hayo maneno kuhakiki kama umetimiza masharti??

Huwa wanahesabu kweli (kwa kuhesabu neno moja moja, especially kwa hard copy) au lengo lao hasa huwa ni kwamba wanataka labda one page document?

Mwenye uzoefu anisaidie hapa
 
mmh! Kwa experience yangu,mara nyingi huwa wanamaanisha a page document if it has to be that way! Sidhani kama huwa m2 ana waste time yake kucount them words!
 
Back
Top Bottom