Hahahhahahahhahaha ndugu mjumbe we unaingia kamati kuu bila maswaliMumewe siku atakayogundua hakuna document yenye Jina lake ataacha kumfata fata mkewe. Kuhusu kufeli Law School ngoja nipitie taarifa vzr
Familia inafuatilia huu umbea hapa[emoji849]
Yani nakwambia kama wachawi hili jukwaahii kitu nimeigundua pia
kuna watu wanaleta mada wanatuacha wambeya tunajisasambua kumbe wanadaka details
Hahhahahahhahahaha wanakosa Ujasiri kabisa.Kweli Kaka hana confidence kabisa maskini. Dah. Mbona wanaume hawana roho ngumu katika kula pesa ya MTU? Hehehe nimeenda
Haji na Altezza mgombani?Wamachame tunajisikia aibu kwa haya yanayotukia
Mwambie aache show off Zama za "economic sabotage and money laundering" hiziFamilia iko macho
Mwambie aache show off Zama za "economic sabotage and money laundering" hizi
Jamaa hawatakii uishi Kama malaika
So show off zinawakaribia akina DPP[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji3577]
Ahahahahaha jamaa n mjinga mnoo Yan tayar anamjua afu anatuulizamkuu mbona tayari unamjua sasa kuliko sisi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aaaaa mwanafamilia umefika.Nimeitwa na Familia kuja kujibu Maswali yenu. Mtoto Mkubwa sio wake.
Naona kashindwa kuudhibiti mwili kaanza kuchuja.
Hela chafu ni pepoMimi huwa nashangaa sijui ni Shule ndogo or what!
Ukishajijua we ni dirt cycle inabidi upige chini show off[emoji848]
Watu sio wajinga asee, utashangaa unaunganishwa kwenye mnyororo kwa ajili ya uduanzi!
Au hela chafu huwa zinawasha?
Kijana Mimi ndio Kweka acha kuijibia maswali familia yangu. Nakuomba sana ujiheshimu. Usijifanye unaijua Sana familia yangu.Mumewe siku atakayogundua hakuna document yenye Jina lake ataacha kumfata fata mkewe. Kuhusu kufeli Law School ngoja nipitie taarifa vzr
Mwambieni atafute kazi [emoji1787][emoji1787]Familia imechukua hoja yako kwa uzito Mkubwa. Tatizo Mume hana msimamo kama Mume ndani ya ndoa.
Weeeee umemuoa yuster au esher?Kaniamulia.resty ni rafiki wa mke wangu niliyemuoa, hivyo namjua sababu wife anapenda kumzungumzia.walisoma wote zanaki hivyo huwa unamzungumzia kuwa form 2 tayari resty alikuwa anatembea na vigogo
Pochi abebe Nani?Mwambieni atafute kazi [emoji1787][emoji1787]
Somebody kimaroWeeeee umemuoa yuster au esher?
Acha fix jamaa IFRS, kuaminisha kama kweli mkeo ni rafiki wa resty hebu taja mnainshi maeneo gani? Una watoto nae Ms Kimaro? Mna gari? Gari aina gani ?Somebody kimaro
Mimi nimeshaoa , nina watoto wawili now.nikae niongope napata nini, sitaki hela ya mtu, sitaki mchepuko maana mke wangu mzuri sana tu, nikae niongope ili iweje?Acha fix, ofisi za CPA zipo wapi? Mmeajiriwa na resty eeh
dah we baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti kukumbatia kabati lakePale Bar ameshindwa kupiga rangi fresh kuweka pasafi akaweka zile jumping castle za watoto jaman! Massawe yeye hana time zaidi kukumbatia kabati lake
halafu si ametoa new business alert..wenzetu sijui wanafanyaje wallahyNgoja aanze kufatiliwa na hzo show off zitamtokea puani Yale Yale ya shamimu mwasha na kibubu challenge wewe unahangaika mbona hutobozi kumbe wenzako Wana biashara nyingine gizani, hzo za insta ni biashara za ku cover up wasijulikane