Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Mumewe siku atakayogundua hakuna document yenye Jina lake ataacha kumfata fata mkewe. Kuhusu kufeli Law School ngoja nipitie taarifa vzr
Hahahhahahahhahaha ndugu mjumbe we unaingia kamati kuu bila maswali

Eti witnessj amu Huyu anatufaa kamati teule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Siku ya kudundwaaaa sijui ntakavotimua mbioπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Familia imechukua hoja yako kwa uzito Mkubwa. Tatizo Mume hana msimamo kama Mume ndani ya ndoa.
Mwambie aache show off Zama za "economic sabotage and money laundering" hizi

Jamaa hawatakii uishi Kama malaika

So show off zinawakaribia akina DPP[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji3577]
 
Mimi huwa nashangaa sijui ni Shule ndogo or what!

Ukishajijua we ni dirt cycle inabidi upige chini show off[emoji848]

Watu sio wajinga asee, utashangaa unaunganishwa kwenye mnyororo kwa ajili ya uduanzi!

Au hela chafu huwa zinawasha?
Hela chafu ni pepo
 
Mumewe siku atakayogundua hakuna document yenye Jina lake ataacha kumfata fata mkewe. Kuhusu kufeli Law School ngoja nipitie taarifa vzr
Kijana Mimi ndio Kweka acha kuijibia maswali familia yangu. Nakuomba sana ujiheshimu. Usijifanye unaijua Sana familia yangu.





Niacheni na Baby wangu Resty nimekufa nimeoza.
 
Acha fix, ofisi za CPA zipo wapi? Mmeajiriwa na resty eeh
Mimi nimeshaoa , nina watoto wawili now.nikae niongope napata nini, sitaki hela ya mtu, sitaki mchepuko maana mke wangu mzuri sana tu, nikae niongope ili iweje?
 
Pale Bar ameshindwa kupiga rangi fresh kuweka pasafi akaweka zile jumping castle za watoto jaman! Massawe yeye hana time zaidi kukumbatia kabati lake
dah we baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti kukumbatia kabati lake
 
Ngoja aanze kufatiliwa na hzo show off zitamtokea puani Yale Yale ya shamimu mwasha na kibubu challenge wewe unahangaika mbona hutobozi kumbe wenzako Wana biashara nyingine gizani, hzo za insta ni biashara za ku cover up wasijulikane
halafu si ametoa new business alert..wenzetu sijui wanafanyaje wallahy
 
Back
Top Bottom