Kama unamjua Shkuba ndio chanzo cha hizo bata unazoziona.
Usione watu matajiri dunia ina mengi hii ila shkuba inabidi aje aandike kitabu aisee ntakuwa wa kwanza kununua
Yaani hapa mjini usipokuwa makini, unaweza kuangalia maisha ya watu ukatamani upotee kwenye hii dunia. Ukweli ni kwamba maisha ya kula bata yana siri kubwa nyuma yake.