Nae atakua anahudhuria sherehe na mumewe ....mana mc sherehe yeyote analeta mkewe waje kushiba bure,nimekua naona hilo sana
Wake wa Ma MC Hawafati chakula ukumbini. Bali wana majukumu
Ma Mc wengi wake zao wanawaweka nafasi ya umeneja wa biashara yao.
Hivyo akikodiwa kwenye sherehe mkewe nae anakuja kama meneja kwa ajili ya kusimamia staff wao wote.
Maana mc akiwa mbele anasherehesha hawezi msimamia Dj , hawezi jua kama kuna spika haziko sawa. Pia kusimamia vyombo vyao vya muziki kama vipo salama.
Ma dj wengi vichaa usipowasimamia nyimbo za kupiga hawachelewi kupiga singeli muda wote. Huku harusi ni ya kilokole
Hapo ndipo wake zao wanapopata nafasi ya kuja kwenye sherehe.
Hao wake wa ma MC wanakuwa wanavaa casual kikazi. Tshirts zenye jina la Mc. Pamoja na jeans