Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

He!? Usinambie

Mc ni biashara ina hela sana. Kama ukiwa na wateja.. mc kuongea masaa matatu tu kwenye harusi anakunja zake milioni easy tu. Katika mwezi mmoja ni rahisi sana kuingiza milion 5 mpaka 10 kwenye u mc tu.

Je ni biashara gani yenye hicho kipato?

Ndio maana siku hizi ma banker, ma lecture wa vyuo, watu wengi wenye CPA wamejiingiza kwenye biashara ya U MC wa masherehe
 
Hivo eh?
 
Mtu km gara b Yuko full booked mwaka mzima na Bei yake liyopita ilikua 4m Nadhani Kwa Sasa amepanda day na ualimu kaacha
 
Aloo si balaa hili, ila ili ufanikiwe kuwa Mc bora Kuna vitu inabidi uvipe kipaumbele.
Kwanza ucheshi unaoendana na event husika, na aina ya waalikwa.
2. Smartness
3 Good customer care, ya kiwango hata kama wateja ni wakorofi

4.kuenda na mda,

5. Kuhakikisha watu Wana enjoy...
Kuna sherehe unaenda utafikiri umeenda ibadani,yaani hata mda wa watu kudance hamna. Na dj ana choices mbovu za nyimbo.

6.
 
Mc ni biashara ina hela sana. Kama ukiwa na wateja.. mc kuongea masaa matatu tu kwenye harusi anakunja zake milioni easy tu. Katika mwezi mmoja ni rahisi sana kuingiza milion 5 mpaka 10 kwenye u mc tu.

Je ni biashara gani yenye hicho kipato?

Ndio maana siku hizi ma banker, ma lecture wa vyuo, watu wengi wenye CPA wamejiingiza kwenye biashara ya U MC wa masherehe
Gara B anachukua kuanzia 3M. MC unalipaa sanaaa.
 
Back
Top Bottom