Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Haeleweki..mwanasheria gani yuko free kama mwalimu wa part time..hivi picha ya Hugo ilitumwaga humu?
Hiyo plot cnc 2020 ilikua inauzwa na john kuna jamaa yng ndio alikua anaitafutia mteja shida bei watu wakawa wanakomea 400m yeye john alikua anataka 600m top...nashangaa kusikia huyo dada anasema plot inamhusu kivipi
 
Ohoooo. Mbona hatari inanukia sasa. Maisha ya showoff atayaweza tena maana lile duka peke yake haliwez mpeleka bata kila siku labda kama ana source nyingine ya mapato

Mi Mwenyewe Nna duka karibu na pale aisee maybe ni vile ni maarufu pengine anaingiza faida 1m per day

Ila vinginevyo siyo rahisi kula bata daily bila side hustles
 
Mi Mwenyewe Nna duka karibu na pale aisee maybe ni vile ni maarufu pengine anaingiza faida 1m per day

Ila vinginevyo siyo rahisi kula bata daily bila side hustles
Muda wa kuishi kwa reality umewadia sasa! Zile million 10/10 za wasafi hakuna tena 😂... Sponsor ameamua kuchachamaa sasa kazi kwenu mashabiki!
 
Anataka mil 25 alipwe kama fidia ya ujenzi wa bar kwenye hicho kiwanja
Mi sio mwanasheria lkn Kwa hili namwona Testy ni mjinga, alipweje hiyo fedha wakati wenyewe hawaitaji hiyo bar hapo?? Anayo makubaliano waliyoandikishiana?? Suluhu ilikuwa ni yeye kukaa nao mezani tu, kule insta hapawez kumsaidia. Angeomba kule mahakaman wapewe ruhusa wakae mezan, lkn hii mambo ya mtandao itamuharibia
 
Back
Top Bottom