Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Kitimoto safi kama keki ipo kimara temboni oppodite na bar maarufu insitwa Buffalo wanaita kwa Kimario. Ukikosa utanu nitakurudishia hela. Njoo inbobo kwa maelekezo zaidi
Sawa mkuu...hebu nipe details zaidi
 
Dada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi.

Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana ambalo ndio ofisi za Wasafi. Anaonekana ni very successful businesswoman, tajiri mkubwa haswa ukiiangalia namna anavyospend na mume wake mpenzi. Mara yupo Dubai, mara visiwa vya Malves, saizi yupo mbugani for wedding anniversary.

Kila weekend yupo kwenye mahotel makubwa kama Serena, Hyatt akipata raha.

Jamani huyu ni nani haswa?

Huyu mwandishi ndo dena Bura mwenyewe anajipiga promo
 
Unapazungumzia Rudy'fams ile njia ya kushoto mbovu mbovu opposite na legder plaza?
Ni hapo au ukitaka siku nyingine nenda white meat ipo Kama unaenda silver sands kabla hujafika kwenye car wash ya kule mbele karibu na hotel yenyewe utaona kibao kushoto kwako baada ya lami ya kwa Asha Migoro utaona WHITE MEAT
 
Lemutuz kasema rest ni muuza sembe aka ngada aka unga, yaani madawa ya kulevya
Iko wazi unashangaa nini? Siku zinahesabika, siku akishanasa kweupe ndio utajua ulishaambiwa ukweli ngoja alengeshwe uone,
 
Back
Top Bottom