Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Dada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi.

Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana ambalo ndio ofisi za Wasafi. Anaonekana ni very successful businesswoman, tajiri mkubwa haswa ukiiangalia namna anavyospend na mume wake mpenzi. Mara yupo Dubai, mara visiwa vya Malves, saizi yupo mbugani for wedding anniversary.

Kila weekend yupo kwenye mahotel makubwa kama Serena, Hyatt akipata raha.

Jamani huyu ni nani haswa?

Ile ni nyumba ya mwanaume aliyezaa nae mtoto wake wa kwanza,mwanaume alikuwa amefungwa na ametoka na kuichukua ile nyumba,maana aliicha kwake kwa ajili ya kumsaidia mtoto
 
Hilo orofa walilopanga kina wasafi radio mbao zinasema ni la baba mtoto wake wa kwanza ambae inasemakana yupo ngome anatumikia muda ila mwanae ndio mrithi kwahiyo Resty kama mama yake anasimamia kuchukua kodi. Wasemavyo walimwengu. Pamoja na kuwa wengi wanafake maisha mitandaoni ila anajitahidi sana kutumia fursa kama mwanamama hongera zake.
Katoka na ameichukua
 
Kweka ni Wamachame,labda mzee alioa mke wa Kimbulu ndio katoa hizo pisi

Machame hakuna pisi za level ya Mbulu!

Over
Sasa iweje jamaa atuchanganyie madesa? after all sio lazima we mmachame as long as ni mchaga anaweza tokea sehem yoyote uchagani. though najua kuna kuzidiana kwa wingi wa majina na sehemu wanazo tokea
 
Huyo hapo
IMG_20201229_220540.jpg
 
Resty ni mwanamke mmoja mzuri sana kuliko hata picha zinavyomtoa,Si unajua tena wairaq aka wambulu walivyo pisi kali..Mbali na hayo ni mjasiriamali anakampuni ya insurance,kampuni ya usafi,hiyo bar yake pia na mambo kedekede anayayofanya ya kumuingizia pesa.

Ila bana tuacheni majungu kwani ni sh ngap mpaka ule bata kama za resty ni mipango tu na malengo.Weka budget yako vizuri,fanya booking mapema.Mbona utakua unakula mema ya dunia kwa pesa ndogo tu.Restusta endelea kula bata kwa raha zako.[emoji7]
Mh, hiv wakina "Kweka" ni watu wa Arusha kweli, au useme amekulia huko
 
Hiyo resty ndio anashikilia record ya picha nyingi instagram kuliko mtu yoyote hapa TZ.
Sehemu moja anaweza kupiga na kupost picha zaidi ya 20, hata hao followers wake kazi wanayo.
Akiamka kuna picha 5 zitapigwa na kupostiwa, akienda kuoga pia picha 5 zitapigwa na kupostiwa, akienda kunywa chai hivyohivyo.
Ana picha alizopost IG jumla ya 32000
Kaanza kupost 2014, hivyo ni miaka 6 sasa. Mwaka una siku 366
366 × 6 = 2196
Ukichukua 32000 ÷ 2196 = 14.5
Hivyo kwa siku anapost picha 14.5 instagram, hapo unaweza kuta anazopiga kwa siku ni 50 ili achague za kuweka. Na mpigaji picha ni mwanaume
Hakuna mwanaume anayependa hii kitu, jamaa hana namna tu.
Wewe jamaa konyo sana you nailed it 2020
 
Duh nanyi malimbukeni kweli! Au sio waswahili nyie? Ningeandika where are your CPA offices ndio mngeelewa zaidi.

Ndio nimeuliza kama yeye na Mrs wake ni CPA, office zao zipo wapi?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ofisi za CPA sio, unajua CPA ni nini haswa?
Ila kinge hiki, acha tu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom