cdhani kama kuna umuhim xana cz cc tulivy ripot mwk jana hatukua na joining instruction wala result slip, tulichofanya ni kwnda na mahitaji ya lazima kwnz mfn ada unajua kabixa km ni 70000 kuna godoro, maxhuka,ndoo,jembe,nk wewe tangulia thn utaulixa michango mingine bei ipoje cz ni ming balaa om watakutumia pexa ulipie mkuu hzo habar za rezult slip utafata kpnd cha likizo