Results Slip inahitajika Wakati wa Kuripoti Shule hiyo tar 18?

Results Slip inahitajika Wakati wa Kuripoti Shule hiyo tar 18?

JOMAKIBU

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2015
Posts
538
Reaction score
70
Naomba Kujuzwa Kama Results Slip Ni Ya Lazima Wakati Wa Kuripot Shule Uliyopangiwa Maana Mpaka Sasa Sion Mwelekeo Wa Kupata Joining Instruction Na Kwa Sasa Nipo Mbali Na Shule Niliyosomea

Kama Kunaanaefaham Anijuze Tafadhali
 
no umuhm wa result slip wakt wa kuripot shule kikubwa ni joining instruction tu!
 
Pitiaga post yako kabla ya kuituma..Cyo sLep ni sLip! Umefanya mpk ulichopost kpoteze mvuto
 
cdhani kama kuna umuhim xana cz cc tulivy ripot mwk jana hatukua na joining instruction wala result slip, tulichofanya ni kwnda na mahitaji ya lazima kwnz mfn ada unajua kabixa km ni 70000 kuna godoro, maxhuka,ndoo,jembe,nk wewe tangulia thn utaulixa michango mingine bei ipoje cz ni ming balaa om watakutumia pexa ulipie mkuu hzo habar za rezult slip utafata kpnd cha likizo
 
Ahsante Sana Kwa Ushauli Wako Mkuu!
 
Kwa Anayeweza Kupata Joining Isntruction Ya Bugene Sec Kabla Ya Tar 18 Tuwasiliane
0757601630
 
Back
Top Bottom