mashabiki wachache wanaojielewa wa utopolo wanalijua hilo. ni suala la mda tu.Manara yupo pale Yanga kwa ajili yake mwenyewe.Watoto waende chooni.
Wacha kwanza
We mleta uzi toka apo kwenye sofa za dada yako njoo tuangalie huku mtaani
Mkuuu shaka ondoa hawa Vijana kule Nigeria Uto atakojozwa Vi3Wacha kwanza dk 90 zikwisheeeee
Mkuu andaaa ChampeiiiignWacha kwanza dk 90 zikwisheeeee
πππAibu kubwa,Biashara na Azam wameshinda alafu Yanga wasishinde!itakua aibu kubwa.
Yaaani subir tu, kabla ya Simba Day atakuwa keshaleta Maandamano ya WanaUtoManara atatimuliwa na mashabiki wa Yanga
πππππNiko na Mwanayanga hapa anasema Manara ndiye kahujumu timu kufungwa hii mechi.