Reuben Ndege kavae viatu vya jasiri uingoze njia

Sawa mtoto wa Ruge tumekusikia
 
Sasa Nchakali kama ni kweli anaenda kuwa mkuu wa vipindi na uzalishaji kwa nini watu wanataka awe more of CEO type of things??..Ruge alikuwa ni zaidi ya hicho cheo alichokuwa nacho

Naamini kama ni kweli amepewa hiyo nafasi,bado atakuwa chini ya Seba Maganga..na hiyo nafasi yake inabase sana kwenye ubunifu na production kwenye vipindi,na inamtaka mtu anayejua presenter qualities na mambo kibao kuhusu utangazaji..mambo ya corporate wanafanya wengine kama Maganga n.k
 
Hapo umenena
 
sina cha kuongeza
 
Mzeeeiiiyaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
huu uzi bila picha ni sawa na Biriani bila Nyama
 
Bwege nn sasa c kumfahamu kama wewe unamjua ni wewe wengine hatumjui ukizingatia ni Vyombo vya habari wengi wanajulikana kwa sauti sio sura
picha ya nini we mtoto wa kiume ujue, Picha ya mwanaume mwenzio ya nini
 
Soso fresh katika ubora wa awali wenye asili halisi!!
Nitafurahi siku nikisikia ML chris na DJ bonny Love nao wamerejea mjengoni... kuna watu wanaujua entertainment na wanafanya kama kazi wanayoipenda!!
 
Weakness ya Ncha kali ni maganja. Very few people ambao ni chain smokers wa weed na wana rational thinking, tolerance na humble.

Ikiwa kumuongoza Mswahili dina marius ameshindwa ataweza Kuvaa viatu vya marehemu jasiri muongoza njia. Scanad ilipotea kwenye anga za marketing sababu ya Poor management. VTL alipotoa mkono wake kuwapa kazi scanad ilipotea kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…