Reuben Ndege kavae viatu vya jasiri uingoze njia

Kumbe Ana mambo ya ajabu. Ndiyo maana Dina,wa watu alishindwa
 
Uti wa mgongo wa chonbo chochote cha habari ni matangazo ya biashara
Kusaga ana akili sana
 
Soso fresh katika ubora wa awali wenye asili halisi!!
Nitafurahi siku nikisikia ML chris na DJ bonny Love nao wamerejea mjengoni... kuna watu wanaujua entertainment na wanafanya kama kazi wanayoipenda!!
kweli kabisa
 
Uti wa mgongo wa chonbo chochote cha habari ni matangazo ya biashara
Kusaga ana akili sana
kabisa bila matangazo hata mishahara huwezi kulipa, umeme utashindwa kununua Redio itakufa, yule pia karudishwa kimkakati kuwin Akaunti ambazo alifanya nazo kazi za matangazo
 
hayo ni mapungufu yake, tupe pia mafanikio yake alipokuwa SCANAD
 
Kwani huyu Ndege ni nani mkuu? Hebu fafanua vizuri.
 
Seba Maganga namuona anaweza,Ncha kali ana element za usela.
Sio lazima ahitajike mtu mwenye element za ubabu ama utuuzima ili kushika executive position tena kwenye brand ambayo yenyewe consumer wake asilimia 70 ni vijana kutokana na content zinazozalishwa.

Biashara ya Radio na vyombo vya habari yategemea sana matangazo maana hao wanauza airtime, uzoefu wa ncha kali kufanya kazi na Agency ya kimataifa kama SCANAD wanao deal na matangazo yeye akiwa country manager inamfanya kuwa right candidate, sababu anakwenda kuleta tija kibiashara maana anajua soko linataka nini.
 
For me mtu ninaye mwona ana fiti katika hiyo nafasi Seba,yupo vizuri kwanza anaijua CMG vizuri sana,kishashika nafasi nyingi CMG,kafanya kazi na Marehemu Ruge kwa ukaribu kwa hiyo hata some strategies ambazo alikuwa akizitumia marehemu ktk uongozi atakuwa anazijua vizuri,nne hana usela yaani ni presentable ,hata akipropose kitu kwa makampuni mbalimbali wanamwelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…