Reuben Ndege kavae viatu vya jasiri uingoze njia

Tukubali tu kuwa Ruge alikuwa Ruge na Nchakali hawezi kuwa Ruge. Clouds haitopata Ruge mwingine ila itabidi wapate mtu mwingine wa kufanya nae kazi and thats Nchakali ama yoyote yule anaefaa.

Kwa muda kama huu nchakali anaweza kuiinua clouds kutokana na ubunifu wake na experience ya marketing aliyoipata SCANAD kama national director. Ila kuvivaa viatu vya Ruge ni ngumu kutokana na lifestyle yake plus sidhani kama ataweza kuwa na influence kwa serikali ama kuweza tu kuwa flexible kwa industries tofauti kama Ruge..
 
Reuben ndo umeamua kuja kujisifia hukuuu. Huko scanad si ukafanya mpaka Kampuni ikataka kupelekwa mahakamani kisa madeni ulivokuwa country manager kwa masaa hadi ukarudishwa cheo chako cha kutengeneza matangazo tu. Hebu wacha sifa zisizo na tija viatu vya Ruge utaweza wewe ndugu yangu????? Mwenzako alikuwa anaongea na kila mtu na anamskiliza kila mtu wewe kacheo tu ulichopewa scanad unawazungushia kiti watu hadi mkapoteza biashara yote kwa kampuni zingine... ukweli ni mwenye uwezo anaonekana ila sio wewe ndugu yangu. endelea kujisifia na wewe ukipewa kiti clouds mwaka tu nakuhakikishia wataondoka wote mmoja mmoja wateja hadi wafanyakazi kama walivooondoka scanad, labda kama umebadilika. Anyway hongera kwa kujisifu mkuuu sio kwamba nakusema ah ah..ila badilika ndugu yana ubrazameen mwingi sanaa huyu jamaa ndo ataiuaaa kabisa clouds, ila ndio vizuri maana anahitajika mtu mwingine tasnia ya redio atawale... natumai EFM na Times wanacheka huko waliko, huuu ndio muda wao eh bwana ehhh kweli Clouds maji ya shingo hadi huyu jamaa bogus bogus kapewa nafasi nyeti ka hiyo...tutaona kama utaweza kuendeleza mawasiliano ya Ruge..yetu macho labda ka ameokoka hehehehehe
 
yap jamaa kwenye media industry anajua ataitendea haki nafasi yake mpya aliopta je ni nafasi ya ruge ndio amerithi ama
inazungumzwa hivyo maeneo ya Kijiwe Nongwa
 
haya maelezo yatoe fotokopi kabisa uyabandike mlangoni pale Clouds itasaidia pia
 
Back
Top Bottom