Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,305
Hivi kumbe hakurudigi tena clouds naskia zama.... Ndo alikua ana mwekea uzibe kurudi.
Kuna kitu kitakuwa Nyuma ya Pazia,Kwanini Reuben na Dina wameondoka Clouds na wameenda kuajiriwa Radio Nyingine? Kumbuka wote hawajaacha clouds na kwenda direct kwenye hizo radio bali walikaa benchi sana ndio wakaenda hizo radio,Kuna nini kilichowaondoa?
cc: warumi , Matola
Last edited by a moderator: