Hivi kumbe hakurudigi tena clouds naskia zama.... Ndo alikua ana mwekea uzibe kurudi.
Dina MARIOS yuko CAPITAL RADIO
Huyu Reuben Ndege ni yule MD wa Ndege Insurance au ni mwingine?
Na DJ mafuvu nae kahamia efm
Capital Radio ni nyuzi ngapu mpenzi niwe namsikiliza, huwa napendaga kumsikiliza huyu dada
Santeee101.3 mine nzuri kweli
NoNi kweli kuwa jamaa yuko E FM!?
Ukiwa manzese huwa unakasikiliza basi vizuri huu mchezo hauhitaji hasiraKa-redio kenyewe kanaishia Manzese lakini mbwembwe nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi
Ni kweli lakini hiyo ni sawa nakutaka kuwa na taifa la viwanda la umeme wa uhakika hakuna "jina zuri la timu lakini timu"Umenena vyema mkuu! Radio ni vipindi na kuongeza frequency...wanatakiwa kuhakikisha wana tengeneza vipindi vizuri visimame kwa mtu yeyote hata kama ataandoka siyo vipindi vitegemee watu fulani!
E-FM wanatakiwa kujifunza kwa Clouds na East Africa maana wao wana wekeza kwenye ubunifu wa vipindi hata mtu akiondoka bado kuna watu watakiendesha kipindi.
Yupo hapo hapo E fmNilikuwa najiuliza jamaa kaenda wapi, kumbe kakimbilia huko, how about his wife Dinna?
Ngoja watu jibu maan hata mi najiulz sanaKuna baba shop moja ipo kwa Aziz Ally ina picha ya ya dj akisugua cd (sijui ndiye Mafuvu) na imeandikwa mafuvu sijui ni yakE!
Nooo yupo E fm bhanaaDina MARIOS yuko CAPITAL RADIO
Ilikua hv kipind dina ana mimba akaenda kujifungua akapatikana da huu sasa da huu akawa mtam hatare na kipindi kikapata wasikilizaji weng kuliko kipind chochote cha clouds so ikawa ngumu dina kurudi maan watu walimzoea da huu kwa mda mfupi so akatemwa juu kwa juu kila siku anapigwa kalenda ndo akaamua aende E fm akasepe na kijiji nahic anapatikana katika kipind cha joto la asubuhi mida yaa saa tano kama sijakosea cause sio msikilizaj sana wa E fmHivi kumbe hakurudigi tena clouds naskia zama.... Ndo alikua ana mwekea uzibe kurudi.
mm kidogo nipo tofauti na nyie nafikiri efm wameingia na stratergy nzuri kwa ushindani uliopo lazma uchukue presenter wenye fan base kukuza radio yako huwezi ukachukua presenter wasio na majina kwa kutaka radio yako isikilizwe so baada ya kupata brand equity ndo anaweza kuchukuapresenter wa kawaida e fm wako sawaaaaupo sahihi kabisa..Hakuna kitu kibaya kama kukimbilia kujenga tahasisi kwa nguvu ya watu badala ya kujenga system....Redio ni vipindi, ukifanikiwa kujenga vipindi vinavyovutia raia umefanikiwa kujenga redio yako...Hii ya kutumia majina ya watu ni mbaya wakianza kukimbia na redio inakufa.
Mimi nawashauri EFM wawekeze kwenye ubunifu wa vipindi, coz vipindi vyao havivutii kabisa nafikiri wanaitaji program manager mzuri zaidi kuliko awa watangazaji waliochokwa tayari. Wajifunze kwa Cloudsfm na IPP Media wanajenga vipindi zaidi kuliko kutegemea watu.