Oya!..wanyantuzu,wasukuma pamoja na wamaasai walikua wakishi pamoja na waarabu na waunguja pamoja na wazaramo?
Jomo Kenyatta anazo lawama pia, maana yeye kazidisha uchafu wa muingereza badala ya kutafuta mbinu za kupunguza. Japo aliridhi nchi ikiwa na tension kibao za masuala ya ardhi, kuna watu walikwenda kupigana na mzungu mbugani almaarufu kama maumau, waliporudi na kupata ardhi zao zimenyakuliwa, akawasogesha kuishi kwengine.
Pia naye akajilimbikizia kijisehemu ambacho kimetumika kama propaganda dhidi ya hata wale walinunua ardhi kihalali. Sio kila Mkikuyu anayeishi bonde la Ufa kwamba alinyakua ardhi wala nini.
Hapo pa Nyerere kutowasaidia Wazanaki, wale ni kabila ndogo sana hata waliopo Dar ni wa kuhesabu. Hiyo nchi yenu uongozi ungepewa kabila kubwa au hata makabila ya kutajika kama Wachagga, basi mngekua na tension za kiaina japo hazingekua kubwa kama Kenya maana nchi yenu ni kubwa kiasi hata ukijilimbikizia ardhi hutoimaliza. Wazanaki ni kabila ndogo ambao sio aggressive sana, leo hii Wachagga hata ukienda maeneo ambapo yeye ni mkurungezi lazima utakuta amewajaza jaza Wachagga humo humo, hilo lipo hata kwa Wahaya, nakumbuka kile kisa cha ufisadi wa Rugemalira alivyokula na Wahaya wenzake.
waaaa yani, uhuru kwaheri..That will be a decisive victory, but the analysis seems to err on some assumptions that Jubilee will get zero from Kamba and Luhya land. Such assumption would have been valid had NASA opted for Mudavadi with Kalonzo as DP or vice versa.
Hata Watigray ni kabila dogo Ethiopia lakini wanawadhibiti makabila makubwa kama Waamhara na Waoromo.
Brother ukiifuatilia nchi yetu kwa ukaribu utajua fika kuwa nyerere alipendwa na kuchukiwa na baadhi ya watu na hata mimi namuhusudu kwa baadhi ya vitu na kuna baadhi ya vitu alivikosea na hata leo vinatutesa kama nchi kama sera ya kuweka mali za kitaifa chini ya chama na hii iliimarisha ccm kuwa mkoloni mweusi na katiba mbovu lakini yeye alikuwa mwanadamu wa kawaida piaMiaka yote nilikua naamini hivyo, kwamba nchi ilianza ukabila baada ya Kenyatta kuwa rais, lakini baadaye nikaanza kusoma historia ya Kenya taratibu na kuona taharuki za kikabila zilikuwepo hata kabla nchi haijapata uhuru.
Pia punde baada ya kupata uhuru kulikua na miungano na mahesabu ya kikabila, haya mambo ya ukabila yalianzishwa awali sana. Mzungu alitugawa kwenye divide and rule, hata wakati anaondoka nchi alikua na mahesabu aachie uongozi wa nchi kwenye kabila lipi.
Muingereza hakua na haja ya kuwatenganisha Watanganyika maana nchi yenu alihodhi kutoka kwa Mjerumani na alijua ataachia tu, hivyo hakua na nia ya kung'ang'ania. Kuna mzee fulani alinipa historia ya Tanganyika pale nilipoanza kumsifia Nyerere kwamba ndiye kazuia ukabila Tanzania, mzee aliniweka sawa kabisa kwamba Nyerere alikuta Watanganyika wameungana tayari wakati anatokea kwa Butiama.
Tatizo kubwa Kenya ni kwamba kila mmoja anataka kuelekeza kidole cha lawama kwa mwnezie ilhali yeye hapo alipo anaendekeza ukabila. Unakuta wanasiasa wanaunda muungano wa tribal lords halafu wanaelekeza kidole cha lawama kwa mlengo wa pili. Hadi wote tukubali tuna uchafu, hamna hatua tutakaypiga maana mkiunda muungano wa kikabila, upande wa pili nao wanajikusanya kikabila ili kukabana nanyi.
Not Kambas but luhyasThat will be a decisive victory, but the analysis seems to err on some assumptions that Jubilee will get zero from Kamba and Luhya land. Such assumption would have been valid had NASA opted for Mudavadi with Kalonzo as DP or vice versa.
Ilikuwa 87% 2013Hata hiyo 85% voter turnout sio realistic pia.
Hehehe Sammuel999 welcome we have missed you.Not Kambas but luhyas
My point exactly Everywhere in africa kulikuwa na Ukabila during colonization ....Hautaskia watu SA wanachinjana Juu ni wa Kabila tofauti Hapa Kenya Kuna few people without Real agendas but want votes ndio wana results kwa hii ufala ....look at Laikipia for example MPs wameingilia Shamba za Wazungu iliwapate supportAfrika yote kila kabila likuwa linaishi kivyake sio Kenya tu. Matatizo ya ukabila yapo nchi nyingi za Afrika kama Ethiopia na Nigeria sio Kenya peke yake.
Hehehe Sammuel999 welcome we have missed you.
Are you certain that Jubilee will get zero from Luhya land. That would have been possible had Mudavadi or Wetangula been chosen and supported by Raila, that would have been dangerous having Western people voting to the man.
But right now there are some pockets of votes from Western meant for Jubilee.
Hahaha. Eti NASAHivi kwanini hichi chama mmekiita NASA ? Kila nikiona heading najua ni mambo ya anga za mbali huko kumbe Raila Odinga
I look at Kenya's elections and misinformation and wonder.
1. Raila never did kibaki a favour in 2002 to endorse him. Before the 2002 elections, Raila had betrayed the opposition coalition by joining kanu. Leaving ngilu, kibaki and wamalwa to work out a coalition. After they (raila, saitoti, kalonzo et al ) got screwed by moi they quit KANU and joined the already worked out coalition. So in his warped mind, he thought the deal already signed by kibaki, wamalwa and ngilu would be trashed for his new, improved version. Kibaki being a gentleman, couldn't.
2. Raila himself betrayed his dad's wish to have wamalwa take over and lead Ford party. He could not allow himself to be led by wamalwa and muite (now luhyas believe his lies) He split the party and formed his luo party called NDP.
3. Sasa huyu msaliti, opportunist ndio mnajaribu kutudanganya kuwa no liberator. There is nothing the turncoat can ever do for Kenya.
4. Wengine humuita sijui liberator. The face of true Kenyan liberation in akina matiba, anyona, njoka. And guess what, they do not claim anything. Huyu muongo ndio hujifanya vile Kenya owes him something. The likes of anyona died poor, matiba is paralysed. Huyu the only think he has are memories, no scars or anything of the sort.
In this day and age, young men who know jerk about the struggle of Kenya's democracy fill blogs and columns with half baked truths.
His only issue and policy is to become the president of Kenya. Nothing else works for him. He even disputed the work of kibaki in 2007. So he is not after development.Mmmmh!..you truely hate the man,you couldn't even hide it,.......pathetic!
Stop attacking a persona, attack IISUES and POLICIES, he proly was moving because the agendas/policies weren't attuned.
His only issue and policy is to become the president of Kenya. Nothing else works for him. He even disputed the work of kibaki in 2007. So he is not after development.
A man who is hell bent on power is one to be very afraid of. Remember in 2007, he was the chief tribalist who propelled the idea of 41 vs 1. How can such a divisive person ever lead Kenya
His only issue and policy is to become the president of Kenya. Nothing else works for him. He even disputed the work of kibaki in 2007. So he is not after development.
A man who is hell bent on power is one to be very afraid of. Remember in 2007, he was the chief tribalist who propelled the idea of 41 vs 1. How can such a divisive person ever lead Kenya