Revealed: NASA’s grand plan to bag 9 million votes

Revealed: NASA’s grand plan to bag 9 million votes

Oya!..wanyantuzu,wasukuma pamoja na wamaasai walikua wakishi pamoja na waarabu na waunguja pamoja na wazaramo?

Afrika yote kila kabila likuwa linaishi kivyake sio Kenya tu. Matatizo ya ukabila yapo nchi nyingi za Afrika kama Ethiopia na Nigeria sio Kenya peke yake.
 
Jomo Kenyatta anazo lawama pia, maana yeye kazidisha uchafu wa muingereza badala ya kutafuta mbinu za kupunguza. Japo aliridhi nchi ikiwa na tension kibao za masuala ya ardhi, kuna watu walikwenda kupigana na mzungu mbugani almaarufu kama maumau, waliporudi na kupata ardhi zao zimenyakuliwa, akawasogesha kuishi kwengine.
Pia naye akajilimbikizia kijisehemu ambacho kimetumika kama propaganda dhidi ya hata wale walinunua ardhi kihalali. Sio kila Mkikuyu anayeishi bonde la Ufa kwamba alinyakua ardhi wala nini.

Hapo pa Nyerere kutowasaidia Wazanaki, wale ni kabila ndogo sana hata waliopo Dar ni wa kuhesabu. Hiyo nchi yenu uongozi ungepewa kabila kubwa au hata makabila ya kutajika kama Wachagga, basi mngekua na tension za kiaina japo hazingekua kubwa kama Kenya maana nchi yenu ni kubwa kiasi hata ukijilimbikizia ardhi hutoimaliza. Wazanaki ni kabila ndogo ambao sio aggressive sana, leo hii Wachagga hata ukienda maeneo ambapo yeye ni mkurungezi lazima utakuta amewajaza jaza Wachagga humo humo, hilo lipo hata kwa Wahaya, nakumbuka kile kisa cha ufisadi wa Rugemalira alivyokula na Wahaya wenzake.

Hata Watigray ni kabila dogo Ethiopia lakini wanawadhibiti makabila makubwa kama Waamhara na Waoromo.
 
That will be a decisive victory, but the analysis seems to err on some assumptions that Jubilee will get zero from Kamba and Luhya land. Such assumption would have been valid had NASA opted for Mudavadi with Kalonzo as DP or vice versa.
waaaa yani, uhuru kwaheri..
 
Hata Watigray ni kabila dogo Ethiopia lakini wanawadhibiti makabila makubwa kama Waamhara na Waoromo.

Ndio maana nikaongeza na aggressiveness ya jamii husika, hao Wazanaki ni vigumu kukutana na hata mmoja mitaa ya Dar au nje ya Mara, lakini Wachagga ambao pia sio wengi huwa nakutana nao katika kila mkoa ninakokwenda. Unakuta jamaa amenunua kiwanja na kujenga kabisa mbali na alikotoka Moshi. Nenda hata kule Zanzibar utawakuta asilimia kubwa ya biashara za mahoteli na utalii ni wao na Wameru.

Japo pia kawaida kwa kiongozi kujaribu kuendeleza maeneo alikotoka, ila hilo kwa Nyerere alikua tofauti kwa kweli. Alipenda usawa kwenye ujamaa wake na hakutaka awe mfano mbaya. Yeye kidogo alikua tofauti hata ukilinganisha na waliokuja baada yake ambao mara unaskia bandari kubwa ya Bagamoyo mara unaskia uwanja wa kimataifa Chato ambapo hamna biashara zozote za kimataifa.

Lakini kauli yangu inabaki pale, tension za kikabila zilianza enzi zile za Wazungu walipotugawa na kueneza chuki, Jomo Kenyatta aliridhi taharuki kibao na hakufanya jitihada za kupunguza. Leo hii tunaendelea kuvuna hayo matunda maana hata vioongozi wa leo ni wazee hao hao waliopokea nchi ikiwa imekaa kikabila.
 
Miaka yote nilikua naamini hivyo, kwamba nchi ilianza ukabila baada ya Kenyatta kuwa rais, lakini baadaye nikaanza kusoma historia ya Kenya taratibu na kuona taharuki za kikabila zilikuwepo hata kabla nchi haijapata uhuru.
Pia punde baada ya kupata uhuru kulikua na miungano na mahesabu ya kikabila, haya mambo ya ukabila yalianzishwa awali sana. Mzungu alitugawa kwenye divide and rule, hata wakati anaondoka nchi alikua na mahesabu aachie uongozi wa nchi kwenye kabila lipi.

Muingereza hakua na haja ya kuwatenganisha Watanganyika maana nchi yenu alihodhi kutoka kwa Mjerumani na alijua ataachia tu, hivyo hakua na nia ya kung'ang'ania. Kuna mzee fulani alinipa historia ya Tanganyika pale nilipoanza kumsifia Nyerere kwamba ndiye kazuia ukabila Tanzania, mzee aliniweka sawa kabisa kwamba Nyerere alikuta Watanganyika wameungana tayari wakati anatokea kwa Butiama.

Tatizo kubwa Kenya ni kwamba kila mmoja anataka kuelekeza kidole cha lawama kwa mwnezie ilhali yeye hapo alipo anaendekeza ukabila. Unakuta wanasiasa wanaunda muungano wa tribal lords halafu wanaelekeza kidole cha lawama kwa mlengo wa pili. Hadi wote tukubali tuna uchafu, hamna hatua tutakaypiga maana mkiunda muungano wa kikabila, upande wa pili nao wanajikusanya kikabila ili kukabana nanyi.
Brother ukiifuatilia nchi yetu kwa ukaribu utajua fika kuwa nyerere alipendwa na kuchukiwa na baadhi ya watu na hata mimi namuhusudu kwa baadhi ya vitu na kuna baadhi ya vitu alivikosea na hata leo vinatutesa kama nchi kama sera ya kuweka mali za kitaifa chini ya chama na hii iliimarisha ccm kuwa mkoloni mweusi na katiba mbovu lakini yeye alikuwa mwanadamu wa kawaida pia

Kwenye suala la ukabila aliliua kwa kuziondolea nguvu tawala za kikabila na sikumbuki vyema ila itakuwa katika late 1960's..pia katika ujamaa aliweza kuyasambaza makabila kama wachagga na mengineyo na hii iliuimarisha umoja...
kitu kikubwa kingine ni kuuhubiri utu na undugu ndo maana hata leo kuna makabila yapo superior lakini conflict hakuna maana tunaheshimiana ...

Regionalism ilitishia ustawi wa taifa letu lakini nashukuru mikoa ya kusini inakua hivyo,imeleta balance ya maendeleo na kuondoa nguvu ya hoja hii... RELIOGIONALISM ama udini lilikuwa ni tishio kubwa sana na bado laweza kuwa tatizo japo kwa kiasi kidogo kutoka na hulka ya utulivu wetu hasa katika makundi baadhi ya kidini
 
9mn votes ni kidogo registered voters in Kenya ni 19.6mn according to KPMG the British or American FIRM doing the voter Audit Of Registered voters ...

Besides if NASA Makes this election issue based wataenda mbali ....Farah Maalim Is the only serious NASA mp doing serious issue based campaigning so far and He is a Somali from Garissa hope he DeThrones Duale
 
That will be a decisive victory, but the analysis seems to err on some assumptions that Jubilee will get zero from Kamba and Luhya land. Such assumption would have been valid had NASA opted for Mudavadi with Kalonzo as DP or vice versa.
Not Kambas but luhyas
 
Hii dhambi itawatafuna wakenya kwa muda mrefu sana
 
Tim Choice if you come to think about it

KENYAS politics is issue based with only ONE EXCEPTION

Jaramogi Odinga was a Sociolist with a sociolost Agenda for Kenya in that he wanted all of Kenyas wealth be equally divided among kenyans before we follow the capitalist system

But Jomo Kenyatta was a Capitalist and had massive land holdings then and now

The only problem is that Kenya has never had a an opposition candidate win an election

Kibaki was a capitalist opposition candidate that doesnt count

People like Tom mboya who was an open socialist ie founder of most Lobbying and most labour reform organisation eg COTU was assasinates in 1969 by some deranged Brainwashed Rightwing Capitalist

And Subsequently All other Socialist had either been killed assasinated or Through political Instability forces to jails or exile ie Nyong'o , Raila Ouko Pio Gama Pinto etc ...if NASA wins this August Unless along the way Raila Changed his real agenda this country may implement Numerous socialist agenda that are Really needed to close the Rich poor gap .....ie Wide scale Land problems solved and settlement of many sqautters who unfortunately majority are Kikuyu and will by no means vote tribal, large scale housing finance , Agricultural system redesign and Development - NASA has openly critisised THE SGR project and Said it would have Favoured Galana Irrigation scheme David ndii even wrote a whole speech about it

Thirdly They will enter the government and open all political assasinations investigation , westgate attack mpeketoni NYS SAGA( this is why mutahi ngunyi cannot sleep on twitter) Eurobond Golden berg and major land issues like Mau forest and Coastal land injustices

This is the only reason i am voting NASA not because am a Rao fanatic but becausw i believe with the great injustice he has endured since 1964 him and his family they have a deeper motivation for Application of Rule of law and Correct various wrongs ....i just dont think a person born in statehouse Raised in US and EUROPE marries a Half kenyan /german Girl Really gets what real kenyans are Going through kule mashinani ......Anyway if he is elected and he (RAO) Immediately becomes a sellout i will by all due Respect take back all i have said (praises) in his Direction

NASA TIBIM

KE has issue bases politics its only that Capitalists took Control of kenya and pushed all issues to the back page

If you read about post independence Kenya They used to discuss real things till the govt of the day Started out with intimidation,assasinations and Political Marginalisation...The Colonial Govt even offeres Jaramogi a Position as Kenyas First PM a position he declined and Advocated instead for the Release of Jomo Kenyatta who was then Serving a 12yr jail term - if that isnt issue based i dont knw what is.....

His son Repeated this move in 2002 for Kibaki ....meehn AINT LIFE A BITCH...U DO GOOD TO OTHERS BUT GET SLAPS IN RETURN !!
 
Not Kambas but luhyas
Hehehe Sammuel999 welcome we have missed you.
Are you certain that Jubilee will get zero from Luhya land. That would have been possible had Mudavadi or Wetangula been chosen and supported by Raila, that would have been dangerous having Western people voting to the man.

But right now there are some pockets of votes from Western meant for Jubilee.
 
Afrika yote kila kabila likuwa linaishi kivyake sio Kenya tu. Matatizo ya ukabila yapo nchi nyingi za Afrika kama Ethiopia na Nigeria sio Kenya peke yake.
My point exactly Everywhere in africa kulikuwa na Ukabila during colonization ....Hautaskia watu SA wanachinjana Juu ni wa Kabila tofauti Hapa Kenya Kuna few people without Real agendas but want votes ndio wana results kwa hii ufala ....look at Laikipia for example MPs wameingilia Shamba za Wazungu iliwapate support
 
Hehehe Sammuel999 welcome we have missed you.
Are you certain that Jubilee will get zero from Luhya land. That would have been possible had Mudavadi or Wetangula been chosen and supported by Raila, that would have been dangerous having Western people voting to the man.

But right now there are some pockets of votes from Western meant for Jubilee.

Asante Mkuu MK254

Am not ...this election is honestly the most unpredictable one yet unaona mpaka Ruto na Duale ni Kama Uhuru amewaambia wanyamaze juu their speeches tend to piss most pple off ...of late sijaskia Ruto aki ongea na Namshukuru Mungu Sana I dont like when he talks pea Uhuru mike instead.....anyway Luhyas will most definetly vote either ways but majority will be In NASA Kisiis too and Kambas Probable and Vice Versa for AMERU Somalis and Kalenjins .....

The only thing i know is that there will be no violence whatsoever THAT ONE I BELIEVE

let the western medias preach whatever they want but Primaries sio General Elections 2008 most Violence was during the last 2weeks before the coalition govt for 2mnths kulikuwa kumetulia ...

Most likely tutaona Run off ya kwanza ....the way most Veteran politicians wamebwagwa nje muhula huu am Happy hehe
 
I look at Kenya's elections and misinformation and wonder.
1. Raila never did kibaki a favour in 2002 to endorse him. Before the 2002 elections, Raila had betrayed the opposition coalition by joining kanu. Leaving ngilu, kibaki and wamalwa to work out a coalition. After they (raila, saitoti, kalonzo et al ) got screwed by moi they quit KANU and joined the already worked out coalition. So in his warped mind, he thought the deal already signed by kibaki, wamalwa and ngilu would be trashed for his new, improved version. Kibaki being a gentleman, couldn't.
2. Raila himself betrayed his dad's wish to have wamalwa take over and lead Ford party. He could not allow himself to be led by wamalwa and muite (now luhyas believe his lies) He split the party and formed his luo party called NDP.
3. Sasa huyu msaliti, opportunist ndio mnajaribu kutudanganya kuwa no liberator. There is nothing the turncoat can ever do for Kenya.
4. Wengine humuita sijui liberator. The face of true Kenyan liberation in akina matiba, anyona, njoka. And guess what, they do not claim anything. Huyu muongo ndio hujifanya vile Kenya owes him something. The likes of anyona died poor, matiba is paralysed. Huyu the only think he has are memories, no scars or anything of the sort.
In this day and age, young men who know jerk about the struggle of Kenya's democracy fill blogs and columns with half baked truths.
 
Mmmmh!..you truely hate the man,you couldn't even hide it,.......pathetic!
Stop attacking a persona, attack IISUES and POLICIES, he proly was moving because the agendas/policies weren't attuned.
 
Mmmmh!..you truely hate the man,you couldn't even hide it,.......pathetic!
Stop attacking a persona, attack IISUES and POLICIES, he proly was moving because the agendas/policies weren't attuned.
His only issue and policy is to become the president of Kenya. Nothing else works for him. He even disputed the work of kibaki in 2007. So he is not after development.
A man who is hell bent on power is one to be very afraid of. Remember in 2007, he was the chief tribalist who propelled the idea of 41 vs 1. How can such a divisive person ever lead Kenya
 
And who doesn't wanna be president of Kenya?
Which politicians wouldn't wanna be president?
 
His only issue and policy is to become the president of Kenya. Nothing else works for him. He even disputed the work of kibaki in 2007. So he is not after development.
A man who is hell bent on power is one to be very afraid of. Remember in 2007, he was the chief tribalist who propelled the idea of 41 vs 1. How can such a divisive person ever lead Kenya

You are still attacking a person/persona.
I think nobody wants to debate here because it seems ushalishwa sumu weye!....😀😀!....goodluck!
 
Back
Top Bottom