Revealed: Watoto wa 'vigogo' waliotimuliwa TANROADS, Majina haya hapa...!

Revealed: Watoto wa 'vigogo' waliotimuliwa TANROADS, Majina haya hapa...!

Mbn hajataja na watoto wa dr slaa wawili nao walkw mizani wakfkzw
 
Hata mie baadhi yao nawafahamu hakuna mtoto wa kigogo hata mmoja.

Kwani walikuwa na nafasi zipi?
Make FTC ni elimu pia inayojitosheleza kwa nafasi fulani.

Pia najiuliza hivi hawa watoto wa vigogo waende wapi? mbona wanapigwa vita kila sehemu hata wale waliosoma vizuri akishakuwa mtoto wa kigogo basi kachomekwa. Je wao si haki yao kupata kazi nzuri hapa TZ?

Sikubaliani na wale wanaopewa nafasi sizizolingana na uwezo wao ila tukubali wako watoto wa vigogo wamesoma vizuri tu na wana uwezo mkubwa na wanastahili kupata kazi nzuri.
 
una ubongo finyu sana ndio maana huelewi IMPLIED CONDITIONS TO ONE NAME MTU KIGOGO.

Yawezekana upo njee ya Tanzania kwa muda mrefu ila kama upo bongo basi wewe ni sub-stratum yaan ungesoma shule zetu za kata hata kwa miaka 20 usingeweza kuikwepa div zero
mhe huyo asiejua kigogo ni nani jibu ulilo mpa lina mfaa sana ila mi nashangaa alijuaje kutumia keyboard kuandika hayo alio yaandika ikiwa ubongo wake ni finyu kiwango hicho .......maajabu haya au ni kujichetua!
 
Kwani walikuwa na nafasi zipi?
Make FTC ni elimu pia inayojitosheleza kwa nafasi fulani.

Pia najiuliza hivi hawa watoto wa vigogo waende wapi? mbona wanapigwa vita kila sehemu hata wale waliosoma vizuri akishakuwa mtoto wa kigogo basi kachomekwa. Je wao si haki yao kupata kazi nzuri hapa TZ?

Sikubaliani na wale wanaopewa nafasi sizizolingana na uwezo wao ila tukubali wako watoto wa vigogo wamesoma vizuri tu na wana uwezo mkubwa na wanastahili kupata kazi nzuri.

Kwa mujibu wa matangazo ya kazi hivi karibuni, sifa ya kielimu ya weighbridge operator ni FTC/Diploma in Mechanical, Electrical and Civil Engineering.
 
Kweli tumepigwa changa la macho,ila kama hao ndo watoto wa vigogo basi hata mie mtoto wa kigogo.
 
Matarajio yangu ni kwa wanahabari wanaopita hapa JF nimewapa leading clue.
Wakamuulize Waziri Magufuli kama hawa ndio watoto wa vigogo aliokuwa anawasema.

Vinginevyo wawataje hao watoto bila kificho tupate kuwafahamu kuliko huu usiri ambao unawaathiri watoto wa watanzania masikini, watoto wa wakulima kwa manufaa ya wakubwa wa nchi hii.
 
Hata mie baadhi yao nawafahamu hakuna mtoto wa kigogo hata mmoja.

Loh! Kama kweli wote ni watoto wa masikini, inawezekana siku hizi kuna msamiati wa "vigogo wa umasikini". Pengine inafanyika hivyo ili kujenga usawa na mshikamano katika taifa letu. Kwa hiyo siku nyingine tukiambiwa vigogo, tuulize vigogo wa kitu gani? Inaudhi!
 
Hapa Mh.Waziri ndiye mwenye majibu yote,alikuwa na maana na aliyoyasema, hata hivyo mizani sio hiyo pekeake.
 
Kama yeye aligawa nyumba ya serikali kwa hawala yake, leo dhambi hiyo imekuwa mbaya kwa wenzie?? Mghufuli anatafuta sana popularity hamna kitu pale. Mtakuja kumuelewa baadaye. Kwao kule biharamulo walishamchoka kabisa.........
 
kuna umuhimu mtoto wangu wa mwisho nizae hata na mlinzi wa ikulu, baadae ataitwa wa kigogo! nonsense!
 
Mbona majina ya vigogo hamna hapa? Mi nlifikiri kama yale ya BOT. Anyway, may be ni wa vimemo tu, but sio kigogo kivile!!

tanroad au bot
Watoto wa vigogo huwa hawachimbi barabara, bali wanahesabu pesa!
 
Baba zao ni kina nani ebu tutajie hao vigogo.
 
kumbe hata mimi marytina nyangasi ni mtoto wa kigogo..

kwa nini magufuli asiwawajibishe wale waliowapa hizo ajira?

Na hili ndio swali la msingi. Huyo aliye waajiri vihiyo bado yupo tu ofisini?
 
kinyume na kauli ya waziri wa ujenzi dr. Magufuli pamoja na mtendaji mkuu wa tanroads eng. Mfugale, imebainika kuwa waliofukuzwa kazi tanroads si watoto wa vigogo.baadhi ya majina ya waliofukuzwa kazi ofisi ya tanroads mkoa wa pwani niliyopenyezewa ni haya hapa:1. Bashiry saidi: Elimu yake ftc (dit)2. Leonard luther: Elimu yake ftc (arusha technical college)3. Pendo kibunje: Elimu yake diploma (nit)4. Lusubilo: Elimu yake diploma (nit)5. Ndibaza: Elimu yake haikupatikana mara moja.waziri magufuli alidai kwamba wengi wa hao watoto wa vigogo hawana sifa za kielimu. Lakini kinyume chake wamewafukuza kazi watoto wa masikini.
nashauri ndibaza achunguzwe zaidi maana asije akawa kama shehe ponda na farid wa zanzibar baadae akaleta chockochoko
 
Kinyume na kauli ya Waziri wa ujenzi Dr. Magufuli pamoja na Mtendaji mkuu wa Tanroads Eng. Mfugale, imebainika kuwa waliofukuzwa kazi Tanroads si watoto wa vigogo.

Baadhi ya majina ya waliofukuzwa kazi ofisi ya Tanroads mkoa wa Pwani niliyopenyezewa ni haya hapa:
1. Bashiry Saidi: Elimu yake FTC (DIT)
2. Leonard Luther: Elimu yake FTC (Arusha Technical College)
3. Pendo Kibunje: Elimu yake Diploma (NIT)
4. Lusubilo: Elimu yake Diploma (NIT)
5. Ndibaza: Elimu yake haikupatikana mara moja.

Waziri Magufuli alidai kwamba wengi wa hao watoto wa vigogo hawana sifa za kielimu. Lakini kinyume chake wamewafukuza kazi watoto wa masikini.

hao vigogo ndio nani??

shuleni kwetu tulikua tunatumia gogo kwa namna nyingine, au una maana hiyo?
 
Kinyume na kauli ya Waziri wa ujenzi Dr. Magufuli pamoja na Mtendaji mkuu wa Tanroads Eng. Mfugale, imebainika kuwa waliofukuzwa kazi Tanroads si watoto wa vigogo.

Baadhi ya majina ya waliofukuzwa kazi ofisi ya Tanroads mkoa wa Pwani niliyopenyezewa ni haya hapa:
1. Bashiry Saidi: Elimu yake FTC (DIT)
2. Leonard Luther: Elimu yake FTC (Arusha Technical College)
3. Pendo Kibunje: Elimu yake Diploma (NIT)
4. Lusubilo: Elimu yake Diploma (NIT)
5. Ndibaza: Elimu yake haikupatikana mara moja.

Waziri Magufuli alidai kwamba wengi wa hao watoto wa vigogo hawana sifa za kielimu. Lakini kinyume chake wamewafukuza kazi watoto wa masikini.

Kwa mfumo wa kulindana wana ccm hawawezi kufukuzana
 
Asilimia kubwa ya watu wanaohodhi nafasi katika mashirika na taasisi nono za serikali elimu yao ni ya chini kwa sasa japo zamani zile wakiajiliwa zilikuwa kubwa sana. hawajajiendeleza ila uzoefu unawabeba, hivyo wanaogopa kuajiri wenye elimu kubwa maana huwa wanaleta dharau kazini, kiburi na hata kutishia nafasi za wakubwa zao
 
Back
Top Bottom