Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Huyo Binti anasemaje kama nikimuoa mm tuanze upya na aliyoyafanya nasamehe
 
Daah wew Mwamba upo kama mim., ukiamua kusonga mbele hata wapige kelele za namna gani hakuna kugeuka kucheki nyuma. Hawa watu wanaumiza saaana., wew unakuwa mwaminifu tena saaaana ila mwenzako yupo tayari hata kutoa 0713 kwa Masee wengine., wakati wew hujawahi hata kuwaza kama itakuja tokea kuomba 0713 kwa ke yeyote.
 
wewe jamaa ni noma. Akitoka jiwe unafuata wewe.
 
Ndugu zangu mlioko kwenye huu uzi, napenda kuwaambia kwa uzoefu wangu na kwa usalama wa binti chukueni tahadhari kwa kutoenda PM ya mwenye uzi.

Taaluma inaonesha kwamba kuna baadhi ya binadamu ukiwashauri kuhusu jambo fulani wao ndio wana gain confidence na kukaza zaidi. Wako tayari kwa matokeo yoyote yale. Yawe mabaya au mazuri.
 
Malipo ni hapa hapa Duniani naona unasifiwa sana kwa maamuzi yako ya kijinga.

Wewe ni mkamilifu sana usiekosea? Wewe toka umekua umekua faithfull hadi leo? Haukosei watu?

Hukumu na Malipizi ni ya Bwana. Utakumbuka siku moja ujumbe huu..

Hakuna aliyejitosheleza na Hakuna asiyekosea ndio maana ya neno Binadamu.

Asiyekosea ni Mungu tu.
 
Akikosea na yeye atahukumiwa...
Tusiwahukumu wanaokosea sababu na sisi tunakosea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…