Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Sina muda wa kulipa kisasi.
Kisasi ni juu ya Mungu..huna haja ya kuhangaika.
Mungu mwenyewe huwa analipa,ni suala la muda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh yaani nikupende, nikujali na kukugharamia halafu UNIZINGUE...

Dah mi adhabu yangu hata sio kubwa Ila ni Kukufanya malay* tuu.

Yaani nitasugua hiyo mbususu bureee na sikupi tenaa hata 100 nyeusi.

Ukiona unasuguliwa na uhudumiwi Tena then jiongeze.

Siku UKIJIFANYA eti umenifumania wewe, hapo ndio nitakuchana ukweli na itakua mwisho wetu.

Ukiwa mbishi basii nitaendelea Kukufanya fuc* mate, ukichoka utajiondoa maishani mwangu.


#YNWA
 
Hapa sikubaliani na wewe mmeachana iyo imeisha mambo yakuanza kuongea naye yanatoka wapi(nasikiaga mnasema et hatukuachana kwa ubaya) mi naona mkishaachana kila mtu ashike njia yake,alafu msimamo wake ni mzuri kwa sababu kama angeendelea kuwasiliana nae mdada angejipa matumaini kwamba uwenda siku moja akanirudia(angeendelea kijipotezea mda)
 
Kisasi Ni juu ya Mungu...sina muda wa kulipa kisasi,

Hiyo revenge yako itaapply kwa watu wenye tabia za kimalaya..ila kwa wengine lazima ufeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu please endeleza mkasa, tupo tunakungojea wewe tu

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka kuwa,mtu asiyesamehe na yeye hatasamehewa,hilo tendo ukilifanta utaishia kuwa mgonjwa milele moyoni mwako
 
Kisasi Ni juu ya Mungu...sina muda wa kulipa kisasi,

Hiyo revenge yako itaapply kwa watu wenye tabia za kimalaya..ila kwa wengine lazima ufeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umechepuka nikagundua nikupa ukweli Mimi na wewe basi.

UKIJIFANYA kulialia nakupokea Ila ndio utasuguliwa tu mbunyee.

Yaani na mimi nakua kama wewe, nagongana na wengine kimya kimyaa.

Mpaka unakuja kugundua kwamba NAKUFANYA malaya USHAPOTEZA MUDA.

sitokwambia kuwa wewe malaya Ila utashangaa tu, ukiniomba hela sina, ukitaka kuja kwangu nakukaribisha.

Mpaka kuja kugundua nimekuweka fuc* mate lazima uumie na ndio itakua revenge yangu hiyo.

#YNWA
 
Mimi huo muda wa kuchepuka sina.

Na hata kama Kuna wanaofanya hivyo bado nasisitiza kuwa kisasi ni juu ya Mungu mwenyewe...Siyo jukumu lako kulipa kisasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea mkuuu
 
Mume aliyemuoa yule binti alinipigia, tukasalimiana akajitambulisha kuwa ni mwanaume wa yule binti na wapo kwenye ndoa kwa muda sasa, akasema yule binti alifanyiwa mpango na baba yake binti alidanganywa kuwa binti alikuwa anakosa aman kwasababu alikuwa anampenda jamaa, Kwahiyo mzee akamwambia haoni sababu ya binti yake kuteseka akaona amfuate tu, akamuahid kumpa duka moja na kiwanja ili amuoe binti yake, jamaa alikuwa ametoka chuo hana kazi akaona ni fursa akaona fresh tu, kumbe ilikuwa trick. Wazazi wakashauriana wakaona wafanye hivyo ili mtoto wao angalau apate amani labda.

Huyu mzee alifahamiana na yule kijana baada ya kukutana ofisin kwa mzee, kijana alikuwa field na huko ndipo walikofahamiana, na hata binti wa mzee walikuwa mara kwa mara wanakutana na yule kijana enzi hizo.

Binti akapangwa kwamba huyo kijana anampenda sana anataka kumuoa ndo akawa mbishi kwasababu ananisubiria mimi ndipo mama aliamua kunipigia simu na kuongea namimi kuhusu kumhakikishia binti mim nimeoa.

Taratibu za kulipa mahari zikakamilika ndani ya miezi 2, aliambiwa ajipangie mahari jamaa akasema yeye hana kitu ila ana kias kdg kimebaki kt boom lake, ni km laki 2 hv, mzee akamwambia kinatosha hicho, so amtume mshenga na atoe taarifa kwao waje, but wakacheza trick kwamba atatajiwa million 2.5 ila yeye asijali atatoa hiyo hiyo laki 2, walifanya hivyo ili kuondoa soo maana ingesikika ameolewa kwa laki 2 ingekuwa dharau sana.

Jamaa akatoa taarifa kwao kwamba anataka kuoa haraka iwezekanavyo, mzazi wa jamaa akamdadis kuhusu mahari na endapo anamfahamu binti vema, akadanganya kwamba kipindi yupo chuo alikuwa anafanya buziness sema alificha, so yupo njema kiuchumi na wapo kwenye mahusiano kwa miaka kadhaa basi mshenga akatumwa taratibu zikakamilika na michakato ya ndoa ikaanza sasa, jamaa alisema kiukweli yule binti hakumuelewa sana ila akajipa moyo atajifunza kimpenda ndani ya ndoa lakin kikubwa ni fursa pia ya kutoka kimaisha maana mtaa ulimkalia vibaya mwana. Baada ya taratibu zote kukamilika jamaa akaoa.

So wakaingia kwenye ndoa kila mtu akijua mwenzake ndo amempenda sana kuliko yeye, binti anajua jamaa amemuelewa zaid kuliko yeye na jamaa akajua binti ndo amemuelewa zaidi, so wakawa wote wanasubiri kuprove upendo, wakajikuta wanategeana sasa, wote hawapendane ila trick imetumika lengo likiwa ni binti awe sasa, mshkaji hajui na bad luck hakujsumbua kupeleleza sana, ingawaje taarifa za ndoa kuahirishwa kwa yule binti alikiri kuzisikia ila hakuichimba kiundan maana alijua ni kawaida tu kuchumbiwa na kuachwa. Mzazi wa binti alitimiza ahadi of course alimpa kiwanja na duka moja alilitoa km zawadi siku ya ndoa, na kuna pesa ilipatiakana siku ya harusi na vyombo na vitu vingine, so maisha yakaanza.

Ndani ya ndoa vitimbwi vikawa vingi, binti akawa mkorofi na jeuri, ikabid mshkaji arudi kwa wazazi wa binti na kuwaambia mbona haoni dalili za binti kumpenda but daily imekuwa akiimba mahusiano yake yaliyovunjika huko nyuma, na kwamba mimi najisumbua tu yeye ana mtu anayempenda, na ipo siku atamtoroka aende kwa huyo anayempenda, na kwamba jamaa ni chaguo la wazazi na sio yeye. Wazazi wakawa wanamtuliza kwamba amvumilie tu haya yataisha. Sasa siku zinavyozid kwenda mambo kwa jamaa yakawa magumu,demu anamnyima hadi penzi sasa, akaona ni shida na kwa kuwa alkuwa msomi wa chuo kikuu, akaamua kufungua akili apeleleze kiundan, ndipo alipopata habari zangu sas kwa kina na jinsi ilivyotokea hadi kushindikana kwa ile ndoa yangu na binti.

Akarudi kwa demu, demu akamchana ni kweli kbs, binti akashangaa kivipi yeye hajui wakat wazazi wake walimueleza kuwa jamaa anajua kila kitu na yupo tayari kumvumilia. Jamaa kichwa kikawaka moto akajua tayari ameuingia mtego na ndoa ishafungwa, balaa zito.

Akaona hana jinsi zaidi ya kijaribu kulitatuta hili maana demu akawa anamchanganya mshkaji na kumdanganya eti anawasiliana namimj na muda wowote atamtoroka aje kwangu, mshkaji alikuwa hampendi kivile ila ndo hivyo alijipatia fursa ya kupata ugali wake angefanyeje na maisha haya magumu hivi.

Nikamuuliza kwanin amenipigia simu, akasema ashapata ukweli wote so anaomba nisiendelee kuwasiliana na binti yule maana nakwamisha maisha yake, nikamwambia asiwe lofa, mim siwez kumpigia huyo bint na wala sijawahi kumpigia tangu lile tukio pale kwao lilivyotokea, nikamwambia apambane yule demu anamchezea akili, kwa kuwa amekuwa mpuuzi wa kutaka kitonga basi agangamale sasa ila mimi sina mpango na mke wake kabisa, nikamuuliza nani kampa namba yangu akadai aliifuatilia kwa mke wake, so tukamalizana hivyo.

Mwaka jana mwishoni kabisa yule binti akanipigia akasema amegundua kila kitu na kwamba sijaoa na zile picha ilikuwa trick tu amewasilana na rafiki yake na amepata ukweli, ashagundua nilicheza mchezo na mama yake, so amepata ukweli na anaomba tuonane, nikamwambia asiwe boya mimi kama mim siwez kumuoa kwanza hata kuongea naye tu kwa simu ni neema, na pia yeye ashafunga ndoa madhabahuni, inyeshe jua au mvua yey ni mke wa mtu aache umalaya atulie kwenye ndoa yake. Demu akakataa akasema haelewi chochote zaidi yangu.

Baada ya wiki kadhaa yule rafiki yake akanitafuta, of course tulikuwa tunawasliana wasiliana lakn sio mara nying, kwasababu nilishamuona anataka kunifelisha so nikawa nampotezea poteza, alivyonitafuta akaomba aoanen namim, kipind hicho sasa nipo Geita huko, nikamwambia kuna nin, akasema ana ujumbe muhimu sana tuonane, nikamuona nayey lofa, nikasema sawa nikija dar nitakushtua.

Nilipofika jijin dsm mwaka huu sasa hiyo mwanzon kabisa, nikapiga kimya nikaona nisije nikanaswa kwa huyo demu nikaharibu cv, km kawaida yake kuja kuja home akanibahatisha, safari hii nikamchana tu aongee point zile pumba zake akiongea nitampapasa then tutakuwa maadui kbs, nikampa nafasi asema anachokusudia kusema sasa, kiukweli kibinadamu kwa mbali udenda ulikuwa unanitoka, mtoto alikuwa mtamu yule jamani kwa macho tu hv alikuwa anaita sana, lakn kiburi changu cha ndani kbs kikawa kimeizid tamaa ya mwili.

Demu akafunguka sas, kwamba yule binti amemtoroka mume wake huko na yupo jijini na yupo kwake na lengo lake ni kunivamia home akiingia tu anakomaa hatoki, hata polisi wakija atazusha nimemtelekeza kisha uwe msala, so yeye ndo akamwambia asijali ratiba zangu zote anazijua kwahiyo awe mpole nikirudi kutoka safari lazima yeye ajue then atamdirect aje, Kwahiyo leo amekuja kwanga kuniambia hilo lakin kikubwa yeye hayupo tayari kuona mimi naishi na rafiki yake, yeye anaitaka hiyo nafasi kwasasa, so hawezi kuruhusu eti yule dada aje kwangu tena. Nikamwambia aache uongo mimi sidanganyiki kirahisi, akampigia simu na kuweka loud akawa anamwambia asijali mimi nipo Mwanza na nikirud tu lazima yeye ajue na atampa taarifa, yule binti akawa anasisitiza amsaidie afanikishe tu kuingia home na anikute.

Nikabaki natafakari cha kufanya, so huyu demh sas ndo akanichana hivyo akasema ananipa siku 3 nitoe jibu either amdirect demu aje au nimkubalie ombi lake alafu yeye afajia jins ya kumfanya rafiki yake anichukie na aachane namim akaconcetrate kwenye ndoa yake.

Wakuu niliahid kumaliza lakin vidole vinauma, nipumzike dk 15 hv then nakuja kumalizia

ITAENDELEA...

Mrejesho: Sehemu ya saba
 
TUENDELEE...


Nikaona mambo yasiwe mengi, nikamwambia poa aende akamrudishe rafiki yake kwenye ndoa yake and mimi nitamfkiria kuhusu ombi lake, nilishajua tayari ashakuwa dhaifu kwangu so hawezi kunizid maujanja, hata km anasema uongo bado hauwez kuniathiri maana lazima nimzid akili, kwanza ananipenda kimapenz hivyo tayari yupo kwenye ugonjwa wa akili hawezi kushindana namimi mwenye akili timamu, and nikapanga kabisa kwamba siwezi kuwa naye yule manzi.

Akaenda akamdanganya kwamba nimepata ajali na nina hali mbaya nimekimbizwa India, na kwa jinsi hali ilivyo sijui km nikipona nitabaki na uwezo wa kufanya chochote Kwahiyo akamwambia rafiki yake akakomae tu na ndoa yake, na akaishi na yule mwanaume maana kwangu tena maji yameshamwagika, binti akaona hakuna jinsi akarudi kwa mume wake, jamaa ndo hivyo akampokea maana ndo km anakopatia ridhiki, nasikia kumbe kipindi anakuja huku alikuwa tayari kanasa ujauzito wa mshikaji, ndo huyu rafiki yake akawa ananiambia alikuja kugundua baadaye km ni mjamzito means km mimi ningejichangnya kuwa naye kipind hiki basi ningetupiwa hilo zigo kumbe la mume wake huko.

Japo binti hana amani kwenye ndoa ile so dizain km anapanga mbinu amtoroke aende akaishi maisha yake peke yake. Huyu rafiki yake akaniambia yupo kwenye process ya kutoa ile mimba maana hataki kuzaa na mshkaji wake, then apotee kokote akaishi mwenyewe. By the way hainuhusu hiyo sasa, azae asizae, aishi au aondole anajua yeye.

Maisha yangu yameanza upya na dizain km yule demu karidhika na kuamin kwamba sipo nchini nipo India kwa matibabu, maana baadaye ikanilazimu nibadili tena namba za simu, sasa mtihan ninao kwa huyu rafiki yake maana ananipenda na anataka nitimize ahad maana kazi ameshaifanya. Hadi leo sijamla na sitamla, na hili kwangu ni dogo sana na nitalimaliza tu kirahisi.

Nimepata aman sana na sikumbuki ubaya na maumivu yote aliyonitendea yule binti, nimeridhika kwa hiki.

Yapo mambo mengine nimeyaexclude maana stori ingekuwa ndefu sana, ahsanten kwa kunifuatilia tangu mwaka 2017 hadi leo 2021.

MWISHO,
 
FIN
THE END
MWISHO

#YNWA
 
Ngoja nimpelekee hii story Jb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…