Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kuna meme umenikumbusha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kilicho Ndani ya Uwezo wako Usimwachie Mungu, Tekeleza kwa Akili zako zote, Nguvu zako zote.
Binti alimpenda mwamba.Hapo penye kuzimia sasa
Utazimiaje kindezi hivo?sema ujue huyo binti alimpenda sana mshkaji nahisi
Na dunia hii unatakiwa upende mguu 1 ndani 1 nje,yan kama uko vitan vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi sina huruma na usaliti ila kumsagisha mtu meno siwezi aisee.Acha kabisa ila ndo ilivyo wengi wanaopendwa hawapendeki ujue!!!
Huyo demu acha asage menoo!mi sina huruma na usaliti
Ni rahisi kuachana na Mtu lakini kama Ni mtu mpumbavu anaendeleza upumbavu wake. Kuachwa kwa staili hii Ni Darasa Huru kwake piah huko aendako. Nadhani wengine huja katika Maisha yako kama Funzo na Huondoka katika Maisha yako wakikuachia Funzo tosha. Huyu binti amefanikiwa kujifunza vema kupitia mahusiano yake, Maumivu ya Somo hili Yameacha Kovu la Ukumbusho kuwa Usaliti ni kitu kibaya sana. Ukisaliti hata ulivyonavyo vitakusaliti pia.Sema binti alizingua mno aisee.
Nachukia sana usaliti..
Kuna watu tunaotafuta wanaume waaminifu na hatuwapati ila kuna watu wanachezea shilingi kwenye tundu la choo.
Lakini adhabu aliyompa anaona ni kubwa mno.
Kuachana naye tu ilikuwa adhabu tosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata angemuacha bila kufanya hivyo bado angepata darasa zuri kabisa.Ni rahisi kuachana na Mtu lakini kama Ni mtu mpumbavu anaendeleza upumbavu wake. Kuachwa kwa staili hii Ni Darasa Huru kwake piah huko aendako. Nadhani wengine huja katika Maisha yako kama Funzo na Huondoka katika Maisha yako wakikuachia Funzo tosha. Huyu binti amefanikiwa kujifunza vema kupitia mahusiano yake, Maumivu ya Somo hili Yameacha Kovu la Ukumbusho kuwa Usaliti ni kitu kibaya sana. Ukisaliti hata ulivyonavyo vitakusaliti pia.
Unpoachwa bila kufanyiwa hivi shukuru, Ila unapoachwa na kufanyiwa tukio kama hili Inabdi ushukuru zaidi kwa kuwaHata angemuacha bila kufanya hivyo bado angepata darasa zuri kabisa.
Kujifunza si lazima umkomoe mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdhahara wa dhambi Mungu analipa,si mwanadamu.Unpoachwa bila kufanyiwa hivi shukuru, Ila unapoachwa na kufanyiwa tukio kama hili Inabdi ushukuru zaidi kwa kuwa
Mosi, Huo ndio mshahara wa Tabia zako
Pili, Aliekufanyia hivi hakupendezwa na tabia zako licha ya kuku alert mapema juu ya mahusiano yenu, so ameamua kwenda hatua mbele zaidi kukufundisha kwa Njia za Maumivu kuwa, Ukifanya hivi Malipo yake ni 1,2,3. Tena inabidi uyapokee vile unapaswa kuyapokea.
Mungu Wetu ni Mkubwa sana, He is Mysterious, Anavingi vya kufanya juu yetu, Kama Liko ndani ya Uwezo wako mlipe mdeni wako, Usisubiri Uvuviwe na Roho wa Bwana ndio Ufanye.
Mwanamke ambaye namuwekea si chini ya laki 2 kila wiki, hiyo sio ya kula wala mavazi, ni vocha na matumizi yake binafsi, gari yake muda wote ina mafuta, nikamfanya kuwa Malkia kuliko mama angu mzazi, anatokea mama mmoja humu anasema mimi katili, katili gani duniani anaweza kufanya mambo km haya niliyomfanyia huyu binti, tamaa zimepita kiasi kila hela anaitaka, haridhiki, elfu 70 sijui laki inamtoa iman, tuweni serious kdg nyie.
Yeye mwenyewe Mungu amesisitiza kuwa tusilipe kisasi,kisasi ni juu yake mwenyewe.Mungu Wetu ni Mkubwa sana, He is Mysterious, Anavingi vya kufanya juu yetu, Kama Liko ndani ya Uwezo wako mlipe mdeni wako, Usisubiri Uvuviwe na Roho wa Bwana ndio Ufanye.
Kilicho Ndani ya Uwezo usiwamchie Mungu. Njia zake sio Njia zako. Fanya yaliyo Ndani ya Njia zako, Yasiyo Ndani ya Njia zako Mwachie Mungu.
Wewe Sasa umeongea la maana.Binadamu tunatofautiana Mkuu una mapenzi ya kweli na kama una mrembo ukimpenda kutoka moyoni kwako na kuona anastahili kuwa mkeo kumfanyia yote hayo kama uwezo upo si tatizo hata kidogo tena unasikia fahari kumtimizia shida zake zote za kila siku, lakini mimi binafsi kama pamoja na kufanya yote hayo nagundua ni malaya na msaliti siwezi kufanya haya uliyoyafanya wewe hadi siku ya kutoa mahari. Sana ningepeleka tu ushahidi kwa Wazazi na ndugu labda na marafiki zake wa karibu ili wajue sababu ya mimi kutotaka tena awe mke wangu.
Unaingia mazimaBinti alimpenda mwamba.
Mimi simshangai,hata ningekuwa mm ningezimia..Kuna watu kuweka mguu mmoja ndani mwingine nje hatuwezi.
Sema dada ndio hivyo tena shetani alimpitia akachepuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siwezi mpenda mtu nusunusu.Unaingia mazima
Hongera aisee,mi napenda kwa akili sio moyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Possible tukawa tuna undugu mkuu, huwa nashangaa rafiki zangu wanavyopapalikia mbususu, Yaani mtu ana demu kila chuo mjini hapa, na bado maofisin humo, baa huko ndo usiseme, huwa nawangaa sana,mimi mbunye sio basic need kwangu na mwanamke hata sijui anitege km simtaki au sijapanga kumla simli hata akifanyeje.Kumbe bado watu wenye msimamo kama mimi wapo
Kuna maeneo tumefanana mkuu, moja nikiwa kwenye mahusiano huwa sina mahusiano mengine ya kando mpaka mahusiano niliyonayo yavunjike.
Mbili, mwanamke mzinzi au mchawi kwangu hana neno msamaha abadani na halitakuwepo maishani ikiwa ni mbinguni au duniani
Mwisho k haijawahi kunipotezea muda (sijui nikoje)
Full stop.
Mkuu...You got my thumb again...Tatizo hawa mabaria feki watasema huna nguvu za kiume...ila kiuhalisia, nakuelewa sana.Possible tukawa tuna undugu mkuu, huwa nashangaa rafiki zangu wanavyopapalikia mbususu, Yaani mtu ana demu kila chuo mjini hapa, na bado maofisin humo, baa huko ndo usiseme, huwa nawangaa sana,mimi mbunye sio basic need kwangu na mwanamke hata sijui anitege km simtaki au sijapanga kumla simli hata akifanyeje.
Nikukupenda nusu sikupendi jua siku akija naemuelewa nakutema then Mimi nakuambia ukweli kua nna mtu! Sitaki mambo mengi
Yaani mshikaji kamwaga maji,ugali mboga,maji ya kunawa,moto kazima na mkaa kaumwagia mimaji usiwashike tena...[emoji16][emoji16][emoji16]yaani huyo Dada kwa sasa sio kua anamtaka jamaa kua anampenda ila anataka amrudie ili amkomeshe na yeye kibingwa....!!!Binadamu tunatofautiana Mkuu una mapenzi ya kweli na kama una mrembo ukimpenda kutoka moyoni kwako na kuona anastahili kuwa mkeo kumfanyia yote hayo kama uwezo upo si tatizo hata kidogo tena unasikia fahari kumtimizia shida zake zote za kila siku, lakini mimi binafsi kama pamoja na kufanya yote hayo nagundua ni malaya na msaliti siwezi kufanya haya uliyoyafanya wewe hadi siku ya kutoa mahari. Sana ningepeleka tu ushahidi kwa Wazazi na ndugu labda na marafiki zake wa karibu ili wajue sababu ya mimi kutotaka tena awe mke wangu.
Yaani mshikaji kamwaga maji,ugali mboga,maji ya kunawa,moto kazima na mkaa kaumwagia mimaji usiwashike tena...[emoji16][emoji16][emoji16]yaani huyo Dada kwa sasa sio kua anamtaka jamaa kua anampenda ila anataka amrudie ili amkomeshe na yeye kibingwa....!!!