Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Safi sana Mkuu KOROE wewe upo kama 100% ila mimi nimekuzidi kidogo. Mimi ningeshusha na kipigo ili kuweka alama ambayo ataikumbuka milele ningekata hata sikio moja ili kila akijiangalia kwa kioo akumbuke! Ulitakiwa umalize na kipigo cha Mbwa Koko
 
Mkuu sisi hatujapinga huyo binti kuachwa,usaliti ni kitu kibaya na sidhani kama kuna mtu anatetea usaliti.
Tunachosema sisi ni namna uliyomuacha.


Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume huwa tunaumizwa sana tunapochapiwa wake zetu, tunaona wapenzi wetu wametudharau kwa kiwango cha mwisho. Ndio maana kuna wanaume huwa wanapogundua utapokea kichapo cha mbwa koko na kukuacha au wengine wanafikia hatua ya mauwaji.

Kwa alichokifanya huyu jamaa unaweza fikiri anamtesa tu huyo Binti kwa anayopitia kumbe anatumikia adhabu ya usaliti wake kihalali - maana alikubali miadi ya kuja kuliwa tigo ki roho safi

Kwa mwanaume maumivu ya kugongewa we yasikie tu kwa wengine, yakikukuta utaona hata yule jamaa aliyemchoma mkewake kwa gunia la mkaa ni kama ile ni adhabu ndogo.

Ilishawahi kunikuta hii kitu, sitaki hata kusimulia.
 
Tuhadithie kidogo mwamba.
 
Wanaongea ongea kwamb mim sijafanya sawa ni mabinti, hawajui maumivu, hasira na uchungu wa demu wako unayempenda na kumpa thaman ya juu kugongwa alafu ukajua, watu huwa wanaua mbona mim kwa nilichokifanya hiki kdg sana, nafaa kupewa Ushemasi kbs
 
Wanaongea ongea kwamb mim sijafanya sawa ni mabinti, hawajui maumivu, hasira na uchungu wa demu wako unayempenda na kumpa thaman ya juu kugongwa alafu ukajua, watu huwa wanaua mbona mim kwa nilichokifanya hiki kdg sana, nafaa kupewa Ushemasi kbs
Mkuu hakuna asiyejua maumivu ya kusalitiwa..hasa ukisalitiwa na mtu uliyekuwa mwaminifu Kwake..
Ila ungefanya kuachana naye tu,ni adhabu tosha.


Yaani kwa kitendo chako upewe ushamasi![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yesu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Mkuu mimi kufanya usaliti siwezi.

Naomba uendelee kidogo kuelezea yaliyojiri.
 
Bahati mbaya sio mwepesi wa kuandika katika mtiririko mzuri ndio maana nashindwa kuleta hapa labda nipate mtu nimsimulie kisha alete jukwaani
 
Stroy nzuri, ila kuna kitu kinaniambia ni story ya kweli kingine kinaniambia ni story ya kutunga

All in all hongera mkuu
Ni ngum stori ya uongo kuwa ndefu kihivyo, anaweza ongeza vitu vichache tu anaweza kuongezea ka chumvi, na hivi vidogo huwa haviasili stori
 
Binadam wana tabia ya kupenda vilivyovigum kwao kupata
 
uligongewaa mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…