Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Mkomoaji ameshasema ameridhika kwa aliofanya ndio faida hiyo.
Na habadili maamuzi...vipi unatakaje?
[emoji23][emoji23][emoji23] Huyu st. Annie huyu utadhani anachokiongea humu kitamsaidia mdada wa watu asamehewe na kuReverse matukio yote, yaani hadi sasa anakaza tu kukazia issue ambayo ishatokea

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
 
Hakika
Huu uongo wa ajali ni mbaya..sijui kwanini watu wanajaribu kudanganyia kwenye ajali,ajali ni mbaya Jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mbaya sana, japo lengo lilikuwa kumsahaulisha huyo binti aMove on. Angeambiwa jamaa yuko usa kapata kazi napo pia ni uongo ila kwa hilo la kusema jamaa yuko usa binti si angeshauza kabisa mali za wazazi ili akamsake jamaa hikohuko usa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au hamkusoma kipande cha mkasa ambapo aliiba fedha za dukani kwa wazazi wake ili tu akamtafute jamaa?

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
 
Tabia ya mtu ni kama ngozi.. huwezi kubadilisha.
Lakini anyway,,,kila mtu ana namna yake ya kutatua matatizo.
Lakini hii naona Kama baadaye inaweza mletea matatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usikariri sana mkuu, kuna watu maisha yamewaachia somp lisilofutika kabisa na mpaka wakabadilika aiseew najua hutoamini ila ndio ukweli na chanzo cha tabia nyingi ni mazoea. Tabia nyingi sio za kuzaliwa nazo so hizo zinawezekana kubadilika, be flexible kifikra

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hili tunaelewana sasa [emoji41]

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app

Naona tatizo lipo hapo.
Mwamba aliwekeza sana kwa binti.

Nawashauri wanaume mlioko kwenye uchumba,msiwekeze sana kwa wapenzi wenu vitu vikubwa mno..uchumba siyo ndoa jamani.
Siku likitolea la kutokea uchumba ukavunjika , maumivu mtakayopata yatakuwa makubwa mno.

Kama unajiona hutaumia endapo uchumba utavunjika basi wekeza.

Kuna wanaume wanahudumia mno wachumba kuliko hata wanavyowahudumia wazazi wao.
Sawa, jitahidi kuwa na balance.

Mabinti wengi wa siku hizi,ukimjali sana anaweza kukugeuza danga.
Msaidie but don't do that up to the extent that anskuchukulia kitega uchumi.

Mambo makubwa mfanyie mkeo halali wa ndoa ambaye umejiridhisha hadi kufikia kufunga naye ndoa.
Hawa wachumba wanaweza badili gia angani,usimuamini yoyote kwa asilimia 100.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa aliyechochea hasira ni binti..
Sema nadhani hakujua kabisa kama jamaa alipekenyua kote huko.
Kweli jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly mkuu yote hayo alijitakia binti mwenye laiti angekiri kosa basi mleta uzi angechukua hatua tofauti ikiwemo kutoonyesha ushadi, binti kukanusha kukapelekea baba yake kupata ujasiri na jeuri ya kumbishia jamaa ambaye naye akaona isiwe taabu aweke ushahidi wote hadharani waone aibu na upuuzi wa binti yao waliyemwamini sana

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Huwajui watu wewe na huenda umeonana nao wa aina hiyo tu. Ngoja tukuache utaonana nao soon

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo jingine nimeliona kwenye malezi ya binti.
Yaani binti anajiamulia tu anajiuzia mali na kubeba hela kuondoka.
Na baada ya kurudi wazazi wake wakaona sawa tu!

Wakaanza na kumtafutia mume,ili tu wamrithishe binti..
Bado alikuwa anawapanda kichwani hadi wazazi wanakuwa pressurized kumtafuta huyu mwamba mtoa mada aongee naye eti ili apate nafuu.

Yaani makosa ayafanye binti na bado atishie eti hataki kula chochote anamtaka jamaa!Na wazazi wake wanatetemeka kweli !
Naona binti alifanikiwa kuwakamata wazazi wake na kuwapelekesha.
Mimi ingekuwa ndio mwanangu asingenipelekesha namna hiyo..hataki kula basi acha asile hadi njaa imuue tuone kama ataweza.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo mwishoni aisseee ila uliyoayasema mwanzoni uko sahihi kabisa

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Huyu st. Annie huyu utadhani anachokiongea humu kitamsaidia mdada wa watu asamehewe na kuReverse matukio yote, yaani hadi sasa anakaza tu kukazia issue ambayo ishatokea

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu sidhani kama lengo langu ni hilo.
Nilikuwa najaribu tu kutoa mchango wangu na kushauri kwamba endapo watu watakutana na hayo matukio basi kazi ya kisasi wamuachie Mungu ,kama jinsi mwenyewe alivyosema.
Mungu ni fundi,anajua kulipa vizuri.

Unaweza kufanikiwa kulipa kisasi wewe mwenyewe lakini baadaye kikakuletea matatizo.
Na,hofu yangu hapo ni kwa huyo binti kwamba kwa jinsi alivyovurugika,anaweza fanya lolote ikiwa ni pamoja na kumdhuru mchumba mpya wa jamaa..mtu asiye na hatia kabisa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…