KipajiTz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 743
- 880
[emoji23][emoji23][emoji23] Huyu st. Annie huyu utadhani anachokiongea humu kitamsaidia mdada wa watu asamehewe na kuReverse matukio yote, yaani hadi sasa anakaza tu kukazia issue ambayo ishatokeaMkomoaji ameshasema ameridhika kwa aliofanya ndio faida hiyo.
Na habadili maamuzi...vipi unatakaje?
Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app