Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mimi kama itahitajika kutoa proof basi ni mahakamani kwenye kesi ya kuniweka ndani.[emoji23][emoji23][emoji23] Huwajui watu wewe na huenda umeonana nao wa aina hiyo tu. Ngoja tukuache utaonana nao soon
Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
Asante mkuu kama umeelewa point yangu. Wengi wanaishia kunisoma juu na kusema kwamba namtetea binti,na wakati siyo hivyo. Mm nimejikita zaidi kwenye nani wa kulipa kisasi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hebu sasa tukuache, tumeshakuelewa kuwa uu mtu wa kusamehe tu haya bhana.
Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
Yaani mwanangu hawezi nidhalilisha hivyo halafu tena anipelekeshe anavyotaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo mwishoni aisseee ila uliyoayasema mwanzoni uko sahihi kabisa
Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
Noted[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu sidhani kama lengo langu ni hilo.
Nilikuwa najaribu tu kutoa mchango wangu na kushauri kwamba endapo watu watakutana na hayo matukio basi kazi ya kisasi wamuachie Mungu ,kama jinsi mwenyewe alivyosema.
Mungu ni fundi,anajua kulipa vizuri.
Unaweza kufanikiwa kulipa kisasi wewe mwenyewe lakini baadaye kikakuletea matatizo.
Na,hofu yangu hapo ni kwa huyo binti kwamba kwa jinsi alivyovurugika,anaweza fanya lolote ikiwa ni pamoja na kumdhuru mchumba mpya wa jamaa..mtu asiye na hatia kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure kabisaAsante mkuu kama umeelewa point yangu.
Wengi wanaishia kunisoma juu na kusema kwamba namtetea binti,na wakati siyo hivyo.
Mm nimejikita zaidi kwenye nani wa kulipa kisasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Uko vizuri kweli [emoji106]Yaani mwanangu hawezi nidhalilisha hivyo halafu tena anipelekeshe anavyotaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Siwezi kupelekesheka hovyo aiseee..tena na mtoto aliyeamua makusudi kufanya ujinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sijui labda nisiongee sana kwa vile bado sina watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] Ukionaga tena news motomoto na mikasa ya kweli humu MMU naomba uwe unaniTag mkuu, jf MMU is very interesting platform kusahaulisha mambo mengi ya kimaisha [emoji23]. After a long day kuperuzi humuYaani mwanangu hawezi nidhalilisha hivyo halafu tena anipelekeshe anavyotaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Siwezi kupelekesheka hovyo aiseee..tena na mtoto aliyeamua makusudi kufanya ujinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sijui labda nisiongee sana kwa vile bado sina watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali mkuu,nikiona nitakutag japo hata mimi siingii sana MMU,nashinda chitchat kucheka na kufurahi huko.[emoji16][emoji16][emoji16] Ukionaga tena news motomoto na mikasa ya kweli humu MMU naomba uwe unaniTag mkuu, jf MMU is very interesting platform kusahaulisha mambo mengi ya kimaisha [emoji23]. After a long day kuperuzi humu
Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
Hivi kwa mfano huyo binti alivyovurugika kwamba hataki kula anamtaka jamaa tu![emoji23][emoji23][emoji23] Uko vizuri kweli [emoji106]
Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
Uzuri humu panaitwa where we dare to talk openly,ntauheshimu huu uhuru ulokupa uwezo wa kuniita malaya but the end of the day hunijui na wala sikujui!Unajidai kusema hvyo ila hujui kuhusu binadam na ndo maana unaongea upuuzi tu, au we ni malaya anaejiuza ndo mana huna staha,
Huwez sema hvyo kwa mtu.uliemtambulisha kwa wazaz wake na huwez kuacha dhahabu kwa kumpamba mtu usiempenda na mwenye familia kama unampenda zaid, na hakuna kibaya zaid kama kukatisjwa ghafla moyo wa furaha, inachanganya moyo ghafla,
Mfano mzr ni kipind mko shule mshamaliza mitihan mmekaa shule wiki mkingojea matokeo mwende hom, ghafla cku ya mwisho kukaa shule mnaambia mmeongezwa wiki
Jamaa una roho ngumu wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kwa mfano huyo binti alivyovurugika kwamba hataki kula anamtaka jamaa tu!
Wao wangempuuzia wakaendelea na shughuli zao.. unadhani asingekula??
Huyo akimaliza siku 2 kavu bila kula atatetemeka kama mbwa mwenye njaa, hajafu mwenyewe atatafuta chakula kilipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nimeshafeli hata kabla ya kuanza
Una roho ngumu wewe!Yaani mwanangu hawezi nidhalilisha hivyo halafu tena anipelekeshe anavyotaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Siwezi kupelekesheka hovyo aiseee..tena na mtoto aliyeamua makusudi kufanya ujinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sijui labda nisiongee sana kwa vile bado sina watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanawake wanapenda sehem wanapoteswa, kwenye misukosuko ukiwa royal kwao wanachepuka. Ndio maana inasemekana hawaeleweki wanataka nini.Binadam wana tabia ya kupenda vilivyovigum kwao kupata
Yameisha haina haja, tutakutana kwenye nyuzi zingine.
Kabisa kakaNa wanawake wanapenda sehem wanapoteswa, kwenye misukosuko ukiwa royal kwao wanachepuka. Ndio maana inasemekana hawaeleweki wanataka nini.
Ndiyo tubadilike sasa, mapenzi yanauma sana tena uwe umetulia halafu atokee mtu akuumize, maumivu yake yasikie tu kwa watu. Mimi hata simshangai huyu jamaa ndiyo mjifunze wote wanawake na wanaume wenye tabia hii ya usaliti.Una roho mbaya shetani anasubiri.Sijui wewe ni mpagani maana hata neno la msamaha kwako limekupita kushoto utadhani hujawahi kutenda dhambi.Wanawake wenzangu ombeni sana Mungu msipate na mijianaume kama hii haishindwi kukuchoma na gunia tano za mkaa.Kisasi gani hicho kisichokwisha?
Hao ndo wadada wa kilokole wenye makandokando ( chui kwenye ngozi ya kondoo ) kwaio lazima ateteeHuo ndo mshahara wake mkuu mbn unatetea ivo una mpango gn na wewe.