Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

[emoji23][emoji23][emoji23] Huwajui watu wewe na huenda umeonana nao wa aina hiyo tu. Ngoja tukuache utaonana nao soon

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
Mimi kama itahitajika kutoa proof basi ni mahakamani kwenye kesi ya kuniweka ndani.

Ila kwa hawa watu tu wanaopiga domo mtaani wallah nisingehangaika hata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hebu sasa tukuache, tumeshakuelewa kuwa uu mtu wa kusamehe tu haya bhana.

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
Asante mkuu kama umeelewa point yangu. Wengi wanaishia kunisoma juu na kusema kwamba namtetea binti,na wakati siyo hivyo. Mm nimejikita zaidi kwenye nani wa kulipa kisasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo mwishoni aisseee ila uliyoayasema mwanzoni uko sahihi kabisa

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
Yaani mwanangu hawezi nidhalilisha hivyo halafu tena anipelekeshe anavyotaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Siwezi kupelekesheka hovyo aiseee..tena na mtoto aliyeamua makusudi kufanya ujinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sijui labda nisiongee sana kwa vile bado sina watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu sidhani kama lengo langu ni hilo.
Nilikuwa najaribu tu kutoa mchango wangu na kushauri kwamba endapo watu watakutana na hayo matukio basi kazi ya kisasi wamuachie Mungu ,kama jinsi mwenyewe alivyosema.
Mungu ni fundi,anajua kulipa vizuri.

Unaweza kufanikiwa kulipa kisasi wewe mwenyewe lakini baadaye kikakuletea matatizo.
Na,hofu yangu hapo ni kwa huyo binti kwamba kwa jinsi alivyovurugika,anaweza fanya lolote ikiwa ni pamoja na kumdhuru mchumba mpya wa jamaa..mtu asiye na hatia kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Noted

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
 
Yaani mwanangu hawezi nidhalilisha hivyo halafu tena anipelekeshe anavyotaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Siwezi kupelekesheka hovyo aiseee..tena na mtoto aliyeamua makusudi kufanya ujinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sijui labda nisiongee sana kwa vile bado sina watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Uko vizuri kweli [emoji106]

[emoji16][emoji16][emoji16] Ukionaga tena news motomoto na mikasa ya kweli humu MMU naomba uwe unaniTag mkuu, jf MMU is very interesting platform kusahaulisha mambo mengi ya kimaisha [emoji23]. After a long day kuperuzi humu

Usijali mkuu,nikiona nitakutag japo hata mimi siingii sana MMU,nashinda chitchat kucheka na kufurahi huko.

MMU mizaha imekuwa mingi mno hadi hakuvutii tena,mada nzito kama hizi at least zinarudisha mvuto wa MMU.

Huu uzi kuna mtu alinistua tu akaniambia kuna kisa ameona huku jf na kinafanana na kisa chake ambacho kimemtokea hivi karibuni na anaumia anashindwa kumove on na anafikiria kurevenge kama mtoa mada.

Nikawa namshauri pale kwamba asihangaike kulipa kisasi,nikampa na mifano,na blah blah kibao ...

Pia nikamuomba yeye na mtoa mada KOROE nakuomba pia ubadilishe sehemu uliyoandika walokole ni wanafiki sana.
Instead you can write "walokole waliokemgeuka" ni wanafiki.

Ulokole unakataza kufanya uzinzi,
Hayo Mambo ya sodoma na gomora yanakatazwa,
Ulokole hauruhusu usaliti.

Msijumuishe walokole wote kwenye kundi la walokole waliokengeuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Uko vizuri kweli [emoji106]

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
Hivi kwa mfano huyo binti alivyovurugika kwamba hataki kula anamtaka jamaa tu!
Wao wangempuuzia wakaendelea na shughuli zao.. unadhani asingekula??

Huyo akimaliza siku 2 kavu bila kula atatetemeka kama mbwa mwenye njaa, hajafu mwenyewe atatafuta chakula kilipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajidai kusema hvyo ila hujui kuhusu binadam na ndo maana unaongea upuuzi tu, au we ni malaya anaejiuza ndo mana huna staha,
Huwez sema hvyo kwa mtu.uliemtambulisha kwa wazaz wake na huwez kuacha dhahabu kwa kumpamba mtu usiempenda na mwenye familia kama unampenda zaid, na hakuna kibaya zaid kama kukatisjwa ghafla moyo wa furaha, inachanganya moyo ghafla,
Mfano mzr ni kipind mko shule mshamaliza mitihan mmekaa shule wiki mkingojea matokeo mwende hom, ghafla cku ya mwisho kukaa shule mnaambia mmeongezwa wiki
Uzuri humu panaitwa where we dare to talk openly,ntauheshimu huu uhuru ulokupa uwezo wa kuniita malaya but the end of the day hunijui na wala sikujui!
Ni hayo tu!
 
Hivi kwa mfano huyo binti alivyovurugika kwamba hataki kula anamtaka jamaa tu!
Wao wangempuuzia wakaendelea na shughuli zao.. unadhani asingekula??

Huyo akimaliza siku 2 kavu bila kula atatetemeka kama mbwa mwenye njaa, hajafu mwenyewe atatafuta chakula kilipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa una roho ngumu wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani mwanangu hawezi nidhalilisha hivyo halafu tena anipelekeshe anavyotaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Siwezi kupelekesheka hovyo aiseee..tena na mtoto aliyeamua makusudi kufanya ujinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sijui labda nisiongee sana kwa vile bado sina watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una roho ngumu wewe!
 
Na wanawake wanapenda sehem wanapoteswa, kwenye misukosuko ukiwa royal kwao wanachepuka. Ndio maana inasemekana hawaeleweki wanataka nini.
Kabisa kaka
Mfano mimi hulka yangu ya upole naona inanicost sana kwenye maisha ya mahusiano
 
Una roho mbaya shetani anasubiri.Sijui wewe ni mpagani maana hata neno la msamaha kwako limekupita kushoto utadhani hujawahi kutenda dhambi.Wanawake wenzangu ombeni sana Mungu msipate na mijianaume kama hii haishindwi kukuchoma na gunia tano za mkaa.Kisasi gani hicho kisichokwisha?
Ndiyo tubadilike sasa, mapenzi yanauma sana tena uwe umetulia halafu atokee mtu akuumize, maumivu yake yasikie tu kwa watu. Mimi hata simshangai huyu jamaa ndiyo mjifunze wote wanawake na wanaume wenye tabia hii ya usaliti.
 
Back
Top Bottom