Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Zaaa kwanza halafu utoe mfano wa uchungu wa mtoto kihalali ili akifanyiwa hivyo na Wewe badala ya kuwa upande wa mwanao uwe upande wa Mkwe wako....

Tusiwe wepesi wakuongea uchungu wa mtoto aujuaye Ni Mzazi.. Kama hujawahi kuwa Mzazi kaa kimya tu hujui Chochote
 
Ndiyo maana pale juu Kuna comment nimesema kwamba nisiongee sana kwa sababu bado sina watoto.
Ila kwa namna yoyote ile siwezi kutetea uovu mkuu..hata huyo mkwe ni kama mtoto wako pia,fikiria wazazi wake wanajisikiaje yeye kutendewa hivyo.
Mtoto wa mwenzio ni wako pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kawaida tu. Kama tahadhari alishapewa, ila akajifanya kuplay smart.

Huwa nasemaga, kama haupo tayari kuingia kwenye mahusiano, basi usitongoze au usikubali unapotongozwa.

Kama unajijua bado hujatosheka na kula ujana, basi endelea kuwa single, usiingie kwenye commitment.

Kama unajijua unamoyo au roho ya ubinafsi, basi haujawa tayari kuingia kwenye mahusiano.

So, kwa upande wangu kwenye huu mkasa nipo neutral, simtetei demu wala simpingi mshikaji.

Maumivu ya mapenzi hayajawahi kuzoeleka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi pia nipo neutral japo namlaumu dada kwa kufanya makosa,pia namlaumu kaka kwa reaction yake.

Sema Kuna watu wanapendaga kucheza na mioyo ya watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anajaribu aone utafanyaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…