Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Inawezekana ni kweli ninayo roho ngumu ila mimi mtu asije kujisumbua kunitisha kutokula akitegemea nitashtuka.

Nutachukulia anafanya fasting tu,akishamaliza mfungo chakula mbona anakitafuta[emoji23],njaa inanyoosha mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zaaa kwanza halafu utoe mfano wa uchungu wa mtoto kihalali ili akifanyiwa hivyo na Wewe badala ya kuwa upande wa mwanao uwe upande wa Mkwe wako....

Tusiwe wepesi wakuongea uchungu wa mtoto aujuaye Ni Mzazi.. Kama hujawahi kuwa Mzazi kaa kimya tu hujui Chochote
 
Ndiyo maana pale juu Kuna comment nimesema kwamba nisiongee sana kwa sababu bado sina watoto.
Ila kwa namna yoyote ile siwezi kutetea uovu mkuu..hata huyo mkwe ni kama mtoto wako pia,fikiria wazazi wake wanajisikiaje yeye kutendewa hivyo.
Mtoto wa mwenzio ni wako pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika hii hadithi ni kweli kabisa mwanaume hakuwa msaliti na namsifu sana kwa kuwa na msimamo huo kwani ni wanaume wachache sana kama si pekeyake mwenye huo msimamo dunia yetu ya leo.

Mwanamke/binti amefanya usaliti na simtetei kwa kufanya usaliti kwa sababu ni tabia mbaya,pia ni halali yake kuachwa.

Shida ni namna mwamba alivyomuacha huyo binti,
Kulikuwa na ulazima gani wa kumdharirisha??

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kawaida tu. Kama tahadhari alishapewa, ila akajifanya kuplay smart.

Huwa nasemaga, kama haupo tayari kuingia kwenye mahusiano, basi usitongoze au usikubali unapotongozwa.

Kama unajijua bado hujatosheka na kula ujana, basi endelea kuwa single, usiingie kwenye commitment.

Kama unajijua unamoyo au roho ya ubinafsi, basi haujawa tayari kuingia kwenye mahusiano.

So, kwa upande wangu kwenye huu mkasa nipo neutral, simtetei demu wala simpingi mshikaji.

Maumivu ya mapenzi hayajawahi kuzoeleka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi pia nipo neutral japo namlaumu dada kwa kufanya makosa,pia namlaumu kaka kwa reaction yake.

Sema Kuna watu wanapendaga kucheza na mioyo ya watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anajaribu aone utafanyaje.
 
Back
Top Bottom