Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Mkuu...You got my thumb again...Tatizo hawa mabaria feki watasema huna nguvu za kiume...ila kiuhalisia, nakuelewa sana.
Watu waseme hana nguvu za kiume kisa hajichanganyi na wanawake? Bila shaka maneno ya watu ni kitu kidogo mno kwa watu mithili ya mtoa mada. Hapana shaka anajielewa, hapelekeshwi na maneno kama hayo
 
Hujalazmishwa kutoa hela, umetoa mwenyewe!
Ndo maana ake, hata hili ninaloenda kufanya naenda kufany mwenyewe,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
She got what she deserved. Hata hivyo siingiliagi mambo ya watu. Watajijua wenyewe
 
Nani aliyetetea mwanamke kufanya dhambi?
Tuanze kwanza na hili.. Nionyeshe sehemu nilipomtetea na kumsapoti huyo dada kufanya hizo dhambi.

Nimeshasema kule juu kwamba ingekuwa mimi Ni huyo kaka, nimefanyiwa hayo ,ningemwachia Mungu tu!
Nimgeachana na huyo msaliti maana hafai,ila kisasi nisingelipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huyu kaka kiboko shetani mwenyew akae pembeni ajifunze upya
Unajua simu mtu anaweza akaipokonya na kuipasua ili apoteze ushahidi.
Pia kaka alipiga hesabu za mbali,akaona kuonyesha huo ushahidi kwa kupitia simu itachukua muda mrefu maana aanze kuona sijui mjomba,shangazi,sijui bibi.

Akaona njia rahisi ni kuprint tu karatasi za kutosha[emoji1787]akifika pale azisambaze tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122].

Dada alizingua sana ila adhabu aliyompa naona ni kubwa mno,na matokeo yake ni mabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo ulitaka amuoe mgawa tigo?
Kwahiyo ulitaka awa chagulie wanae mama mfirwaj*?

#YNWA
Ni mwanaume mpuuzi tu na mwenye akili za kitoto anaweza kufanya upumbavu aliofanya huyo mjinga. Angekuwa Ndio amemfanyia mwanangu ningemalizana nae kiume na pengine asingekuwepo hapa kusimulia upuuzi wake
 
Hujanijibu swali langu TAFADHALI.

#YNWA
 
Dada alizingua sana ila adhabu aliyompa naona ni kubwa mno,na matokeo yake ni mabaya.

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Dada unajua watu wa lutwi sodoma na gomola walipewa adhabu gani kwa kutoa 0713
Saint Anne
 
Ni mwanaume mpuuzi tu na mwenye akili za kitoto anaweza kufanya upumbavu aliofanya huyo mjinga. Angekuwa Ndio amemfanyia mwanangu ningemalizana nae kiume na pengine asingekuwepo hapa kusimulia upuuzi wake
Ndo upambane kuwapa binti zako maadili ili haya yasiwakute, sio kila mtu unaweza ukamalizana naye tu kizembe, labda kama wazembe wengine, mimi naona jamaa yupo sahihi kabisa.
 
Dada alizingua sana ila adhabu aliyompa naona ni kubwa mno,na matokeo yake ni mabaya.

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Dada unajua watu wa lutwi sodoma na gomola walipewa adhabu gani kwa kutoa 0713
Saint Anne
Watu wa Sodoma na Gomora waliteketezwa kwa Moto kasoro Ruth na mkewe.

Namimi nakuuliza Je,unajua ni nani aliyewaangamiza hao watu wa Sodoma na Gomora?

Ukishanipa jibu basi ujue hapo ndipo ilipo point yangu .
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa Sodoma na Gomora waliteketezwa kwa Moto kasoro Ruth na mkewe.

Namimi nakuuliza Je,unajua ni nani aliyewaangamiza hao watu wa Sodoma na Gomora?

Ukishanipa jibu basi ujue hapo ndipo ilipo point yangu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Point hapa ni adhabu aliyopewa sio nani anaempa.
Unafanya jitihada kubwa sana kubadili mwenendo wa mtoa adhabu ingali tayari adhabu imeshatoka.
"Huenda nawewe ni mdau ndio maana unajaribu kuvaa viatu vya mpewa adhabu"

Ingekuwa anaomba ushauri atoe yeye adhabu au asitoe ndio point yako unayosema LABDA ingesikilizwa na mtoa adhabu, for now...unatwanga maji kwenye kinu ukidhani unapata nafaka!!!
 
Point yangu ni mtoa adhabu.
Kama wewe umeamua kunisemea ni sawa pia[emoji1635]

Endelea kunipigia ramli mkuu.
Ila kwa kukusaidia tu mimi ni mkristo niliyeokoka si kwa ubabaishaji kama huyo dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
King Kong III na mchumba wako Wangari Maathai mheshimiane bana yasijetokea haya huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…