Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Mkuu KOROE
Vipi,wewe hujafanyiwa revenge hadi Sasa?
Hujatupa stori ya Anko kuzimia katika harakati za revenge.
 
Mkuu KOROE
Ni mwaka wa 2 huu tunasubiri continuation ya stori yako
Uliahidi utaweka.
Au umetekwa na Baba Mkwe?
Tunakuombea MUNGU uwe mzima,uje.
Mbona alishatoa muendelezo muda sana..!! nadhani upo kwenye comments humo ndani (sikumbuki vyema page ya ngapi) ila alishaelezea kila kitu..!
 
Woii ngoja nikamsome anaweza akawa role model wangu pia😁
Huyo Koroe ana roho ngumu shetani akasome
Amelipiza kisasi hadi binti anataka ajinyonge.
Baba mkwe wake akasema hajaijaisha,,
Naye akamchanganya kwenye kisasi hadi Baba mkwe anataka kujinyonga,,,kiufupi kainyoosha familia yote ya wakwe na mtoto wao.
 
Najuta! Machozi yamenilenga nimezima jiko! nimekaa kwanza chini! Mungu aniepushe na mwanaume shetani namna hiiπŸ™ŒπŸΎ Hapo ni kama mwanamke aliua kwao aisee! Ukimuacha tu mtu unakuwaje? Mshenzi sana huyu koroe mbwa kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…