Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Al qisasi haqu...

Umefanya maamuzi ya kiume.. Ila baada ya kumtesa kwa muda huo, ungemsamehe aisee amini ungekuwa umepata mwanamke anaekuheshimu na kukuogopa kuliko maelezo..
Kuchukua mwanamke mwingine ni kucheza kamari..
kila mtu anakosea amejifunza kutokana na kisasi cha mtoa mada agepata mke mzuri sana
 
Hawa wana ujinga mwingi. Wanapenda kujichagulia adhabu. Mi nlishawaambia sikuachi hivi hivi lazima uteme ulichokula na nikuachie kumbukumbu. Mtu unakuta akili hana anaringia Makebo yake tu Kraang kichwani hamna kitu. Unambeba anakunyea mkononi. Basi unamlisha choo chake
Wajinga sana. Anataka akufanyie ubaya halafu umlipe kwa kukaa kimya. Stupid kabsa.... Piga tukio.
 
Jf kuna watu wanachekesha sana na story zao za mahusiano hasa sisi wanaume 🤣

1) Kuna mmoja alikodi taxi kutoka korogwe hadi dar kwenda kumpiga mchepuko wa mkewe, ambae ni mchungaji na family friend.

2) Mwingine alitoka date na mwanachuo, sehemu ya first date akapelekwa na mdada kempiski Hyatt regency huku mfukoni ana elf 80, bill ikaja kubwa kumpigia simu rafiki yake amsaidie hela, rafiki akaja Hyatt kumuaibisha kuwa siku zote wanakunywa bia rose garden, huko kafata nini, hana hela ana hela ya kula yeye na mkewe, mtoa mada alisema alitamani kurusha ngumi 🤣

3) mwingine namwita mzee wa u turn alimkimbia mdada mlimani city, alivoona mdada anachukua vitu ghali vya kwenye mashelf, kabla ya hapo alishapunwa hela kibao za first dates kwenye mgahawa wa sea cliff 🤣

4) mwingine alikua na million 5 za boss, akaenda nazo baa kunywa bia huku begi kaliacha lodge jirani, akaona pisi Kali akaichukua akaenda lala nayo alivoamka asubuhi akasema ilikua upuuzi mtupu hela yote ilikua imeemda na maji, ilibidi aende chooni alivofika chooni anasema alijamba kwa pupa huku akikojoa bila kulenga tundu 🤣🤣🤣 Saint Anne Chica Gee Carleen Seran
huyo wa mwisho ni kwamba alileweshwa akaibiwa??
 
Najuta! Machozi yamenilenga nimezima jiko! nimekaa kwanza chini! Mungu aniepushe na mwanaume shetani namna hii🙌🏾 Hapo ni kama mwanamke aliua kwao aisee! Ukimuacha tu mtu unakuwaje? Mshenzi sana huyu koroe mbwa kabisa!
Punguzeni kudanga.
 
Back
Top Bottom