Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Al qisasi haqu...

Umefanya maamuzi ya kiume.. Ila baada ya kumtesa kwa muda huo, ungemsamehe aisee amini ungekuwa umepata mwanamke anaekuheshimu na kukuogopa kuliko maelezo..
Kuchukua mwanamke mwingine ni kucheza kamari..
kila mtu anakosea amejifunza kutokana na kisasi cha mtoa mada agepata mke mzuri sana
 
Wajinga sana. Anataka akufanyie ubaya halafu umlipe kwa kukaa kimya. Stupid kabsa.... Piga tukio.
 
huyo wa mwisho ni kwamba alileweshwa akaibiwa??
 
Najuta! Machozi yamenilenga nimezima jiko! nimekaa kwanza chini! Mungu aniepushe na mwanaume shetani namna hii🙌🏾 Hapo ni kama mwanamke aliua kwao aisee! Ukimuacha tu mtu unakuwaje? Mshenzi sana huyu koroe mbwa kabisa!
Punguzeni kudanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…