Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] njoo unitoe hahahahahah wewe hujatuliahahaaa kapeace mwehu weeee
umetoroka milembe sio bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] njoo unitoe hahahahahah wewe hujatuliahahaaa kapeace mwehu weeee
umetoroka milembe sio bure
Na ukubwa wote nilio nao yasinikute.Au mpaka niandike ndo ujue nilishawahi kupitia na kuyapotezea?Hayajakukuta wewe.
Ndo maana ake, hata hili ninaloenda kufanya naenda kufany mwenyewe,Hujalazmishwa kutoa hela, umetoa mwenyewe!
maelezo uliyoyatoa ni rahisi mhusika kuelewa kupitia uzi huu na hivyo kujipanga vinginevyo au kuharibu mipango iliyopo mbele ikiwemo 7 January! Hatua hivyo huu sio ushauri!Kwa ufupi hii ni taarifa tu, so ushauri wako hautabadili chochote wala kuongeza chochote, vipi lakin uzima upo??
Ni hivi, mi huwa siumizwi alafu anayeniumiza akabaki salama, nikiumizwa mi nakuumiza mara 10 alafu fresh, maisha yenyewe mafupi haya, mi niwe na stress alafu wew ucheke ili kiwe nini... sipendagi ubwege kabisa, na nitabaki kwenye kumbukumbu zako milele ukijifanya kuniletea habari za ajabu..
Miez 8 iliyopita nilidate na dada mmoja hivi mrembo, height moja hivi mauzo sana na mzigo wa kuvuta huko nyuma haukuwa haba, kifupi mvuto wa yule dem hauna shaka, kama ni maksi basi A ya 95+... mapema nikamwambia mambo ya kiboya sitaki, km utacheat jitahidi nisijue, nikijua umeumia....Akajifanya hadi kulia pale kwamba ananilove nyang'anyang'a na kamwe hakuna mwanaume kama mimi, nikasema poa but take my words ukinizingua hutoamini nitakachokufany, na km hunitaki niache uende, na kama pia itakuw mechi za dharula tu alafu kimya tuambiane, moyo wangu hauchezewi.. akasema nisiwe na shaka ananipenda, nikasema poa.
Tabia yangu ni kwamba kamwe siwezi kuwa na mpenzi zaid ya mmoja kwa wakati mmoja, so nikiwa na mmoja huyo huyo. Sasa mwezi mmoja nyuma nikausoma mchezo dizain kama demu wangu analiwa hivi, sikumuuliza, nikakomaa hadi nikapata password zake facebook na insta.. nikazama inbox yake, daah ni balaa tupu, ashapigwa mashine na mshikaji mmoja hivi, then jamaa dizain kama anakomaa naye amle 0715 hiv sema demu anabana.. text yake hii hapa..
"Baby naridhika sana nawew, ila unanibania side B, nyimbo za side A zote nimeskiliza why uninyime za side B mpenz?, kama side A nilsikilza kwa elfu 70 bas side B lazma dau lipande.. nielewe bas"
Demu akajibu..
"Mi nina mtu na tuna malengo je akigundua na kuniacha itakuwaje"
Jamaa..
"Hawezi gundua, kwani huwa anakagua huko, ila navyokujua huwez nibania.. nitakutoa out ukafanye shopping ya maana, na nitakutumia 100,000 kesho"
Demu...
"Mmh poa tutaangalia tukikutana tar.22 jamaa akiondoka kama tulivyopanga".
Zipo nyingi nying but hizo kiufupi,....
Mimi kwa huyu demu..., nampa nachopata, najinyima sana apate yeye, nishamtoa shopping za maana mara kibao na tayari nishaandaa pesa nzuri tu kwa ajili yake, Krismass na mwaka mpya, maana tar.hizo sitakuwepo kutokana na majukum ya kazi yangu, nammudu kiujumla, nguo, usafiri, pesa ya kula, malazi nafanya mimi.. yeye hana chochote zaid ya gamba lake la diploma. Muda wote huo sina demu zaid yake.. na on bed naperfom fresh hadi anaomba poo yeye..
Nilichokifanya baada ya kugundua hilo, nimescreenshot charting zote hadi picha walizopiga wakiwa lodge wametumiana kupitia fb messenger nimejitumia kwenye simu yangu, then nimeuchuna.. kifupi tayari nimeshampiga chini ila siwez kumwambia tuachane kiboya boya hiv bila yeye kuonja joto la jiwe kidogo, na kamwe sitafanya naye mapenz tena.. ambacho kimebaki kwake ni kumpa kidonda cha milele..
Ifahamike ananipenda japo tamaa anazo, ashanitambulisha kwa rafiki zake wote, dada yake, hadi mama yake.. kifupi anaitwa mrs mimi... na uchafu anaoufanya ni siri kubwa sana na ndo maana anatumia fb messenger maana anajua siwez hisi chochote huko.. tayari tarehe ya kupeleka barua ishapangwa, tarehe 07 jan... mashangazi zake wote wanajiandaa kwa tukio hilo.. upande wetu pia tunajiandaa..
Nataka nifanye nini?? Siku hiyo ya tukio la kwenda kwao kujitambulisha rasmi ndo siku yangu ya kumuumiza, maana kwao anaaminika sana, anaimba kwaya kanisan, ana vyeo vingi ving vya huko kanisani.. na huwezi mzania hata kidogo kama ni mshenzi.. siku hiyo mbele ya Mchungaji wake, ndugu zake, mama ake, mashangazi na marafiki zake wakiwa na smartphone zao naenda umiza mtu vibaya sana, sio kwamba nitampiga hapana, ila nataka nimafanyie tukio ambalo litaweka maumivu ya kudumu kwenye moyo wake na kamwe hatokuja nisahau..
Tarehe 7 january, save the date....
USIPOTEZE MUDA KUNISHAURI CHOCHOTE, HUWA NIKIPANGA SIPANGUI..
Basi hayakua makubwa..Na ukubwa wote nilio nao yasinikute.Au mpaka niandike ndo ujue nilishawahi kupitia na kuyapotezea?
OkayKwani wote wanaoweka habari hapa ni kwaajili ya kuomba ushauri?
Wengine wanaleta Maoni.
Wengine wanaleta taarifa rasmi na isiyo rasmi.
Wengine wanaleta mzaha.
Wengine wanaleta mrejesho.
Kama huyu baada ya taarifa hii nategemea atatuletea na Mrejesho pia.
Wabillah Tawfiq,
Nipe oda nikutengenezee karanga za mayai....utulie nazo mapema tarehe 7Tar 7 January mapemaaa nipo hapa na Karanga zangu maana mi sili hizo popcorn
Na sifikir kama atafanikiwa coz muhusika akisoma ujumbe huu au mtu yyt wa karibu yake lzm amtonye tu.Hii ingekua siri na mwisho angekuja kumwaga series nzima.Haka ka episode tayar kanaenda kuzima next episode.Kwa uzi huu naona kama tayari wahusika wamejulishwa kwamba kuna msala unakuja