Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Alikuwa hana budi kuthibitisha umma ujue uchafu wa binti..kama mbele ya watu binti aliambiwa aeleze wazi alikuwa na mahusiano na raia gani akagoma kuwa mkweli vipi kama angembiwa kimya kimya..nani angesadiki kama ni kweli binti mlokole anafanya uhuni huo

Hakuna ambaye angemuamini jamaa kama anasema ukweli..hiyo ndio dawa yake msaliti amefanya kichakani unumuumbua hadharani tena naona kama jamaa ana moyo wa upole sana adhabu zangu ninazotoa kwa huyu mwamba naweza kusema kwangu ni mwanafunzi wa chekechea
Hahahha
 
Hapana aisee misimamo mingine haina mana, na ni ukatili dhidi ya ubinadam, mwanamke kama unampenda kwanini umchunguze sana?
Nikihisi ujinga ujinga lazima nimchunguze. Ukiwa zoba utalea watoto wa wenzio ama utaletewa magonjwa ndani ya nyumba.
 
Cha ajabu mnaotoa haya maneno nyie wenyewe ni wachepukaji wazuri.
Mngekuwa waaminifu kama mtoa mada angalau maneno yenu yangesound ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ajabu sana kwa mwanaume kuchepuka..ila ni jambo la ajabu sana kwa mwanamke niliyemuoa kwa mahari na mimi ndo ninayemtunza achepuke hadi mimi nijue..aisee halivumiliki.

Baadhi ya wanawake wanavumilia watoto wa nje wa mume,lakini embu na wewe jichanganye uzae nje then umwambie ukweli mumeo.

50/50 kwenye ndoa hilo halipo na ukitunisha msuli utaumia labda tu uwe na mume asiyejielewa.
 
[emoji44][emoji44]mwanaume kuchepuka si ajabu???[emoji134]
Kwahiyo unataka uhalalishe dhambi ya uchepukaji kwa mwanaume!
Hufai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angemuacha tu bila kwenda huko kwao.
Anayejua ukweli ni Mungu,kitu kama ni cha kweli,huna haja ya kuprove sana kwa watu maana Mungu anajua yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu hakuwepo siku ya kikao mkuu waliokuwepo walihitaji ushahidi na Mungu asingewapa isipokuwa mtendewa

au unless waliokuwepo wote wana moyo wa kinabii na macho ya rohoni
 
Jamaa hajasema kwamba atapata ajali kweli.
Mimi sijasema kwamba atapata ajali kweli.

Jamaa amesema kwamba maneno huumba
Na mimi nimesema kuwa kusingizia mambo ya ajali si vizuri.

Hakuna sehemu tumesema atapata ama hatapata,acha upuuzi[emoji23][emoji23](in Koroe's voice)

Sent using Jamii Forums mobile app
maneno yapi yanaumba?
 
Mungu hakuwepo siku ya kikao mkuu waliokuwepo walihitaji ushahidi na Mungu asingewapa isipokuwa mtendewa

au unless waliokuwepo wote wana moyo wa kinabii na macho ya rohoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sawa,umenizidi point.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom