Revenue Distribution Katika Zari All White Party!!!

Dada mwema mayai yake yote kakaangia chips sasa hawezi kupata kids sasa nani atamuoa?

Basi dada yetu aandike maumivu tu. Na makunyanzi ndo yamemuanza daah! kwa kweli inasikitisha KUCHAMBA KWINGI MWISHOWE UNAIBUKA NA NNYA

Dada Mwema labda asubirie BARNABA nae akitoka kwenye muziki amuoe vinginevyo ndo ajikunyate tu mwenyewe au avizie WAPIGAJI wa fasta fasta

mkuu hiyo si couple kamili? (Married couple) sasa ya nini kugawana? au ile ndoa ilikuwa geresha? ila kiukweli Mondi anakula kitu safiii, lainiiii, halafu hard working tofauti na UBAYA SEPETUA ambae anajua kununua mawig ya bei mbaya tuu
Wallah waswahili wana maneno sanaaaa.......
 

Vp kuhusu TRA Mkuu?
 
Mkuu acha feelings, tunataka business language tuuuu kama ni maneno ya mtaan na mipasho basi yawe na accuracy na ukwel flan

Yule ni Nasibu na mwenziwe ni Zarina Hassan. Unahitaji watu watano tu kufungisha ndoa.

1. Mwanaume aliye tayari kuoa
2. Mwanamke aliye tayari kuolewa
3. Shahidi wa Mwanaume.
4. Shahidi wa Mwanamke
5. Mfungisha ndoa.

unaweza kuoa hata kwa video conference au mtu mwingine akakuwakilisha.
mpiga domo
 
Last edited by a moderator:
Yule mwanamke alivyokuwa ajazubaa unaweza kukuta kamwambia yote hiyo waanze kumuwekea kijacho trust fund na yeye mwenyewe ndio msimamizi.
 
Mkuu sidhan kama wako married ila wakijifungua mtoto na time ambayo watakua wamekaa nayo watakua wapo technical married

mambo ya share chibu ndio baba, ni ishu ya kifamilia.
pia kumbuka zari huwa anafanya party kama hii kila mwaka hajaanza jana wala leo.
 
Tra lazima walambe Chao kwani zari sio resident, jamaa walioandaa tamasha inabidi wamkate withholding tax. Then kwa kuwa source ya income ya zari ni urt pia kabla hajasepa itabidi atupe chetu tumpe tax clearance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…